@255cindy: Replying to @cj_barber255 POST 01|TROPICAL MINT COCKTAIL. Binafsi nataka kuambiwa ni nakunywa nini leo 😍 #fyp #cocktails #mocktailrecipe #drinks
Jana nimemtengenezea ba mtu ya pipi kifua, limao na sprite aliipenda akasema nimtengenezee tena sasa subil nikatafute majani na konyagi akafie mbali uko😂
2026-10-19 11:02:00
58
Jay Fouad Bakary :
Mtume! Figo zetu ….
2026-10-19 10:47:33
53
##OFFICAL" MAYERE## :
ooooooh my gwadooo
2026-10-19 15:35:05
1
Raster :
hivi hivyo vimajani vinaitaje
2026-10-18 19:52:20
12
torono_65 :
Ayo majani nikitumia kabichi inafaa
2026-10-19 11:39:29
15
Mr Luhanga :
hi juice Ina saidia nini[Snicker]
2026-10-19 07:12:24
6
Flavie Collections💕 :
K vant tena😔
2026-10-19 22:23:35
3
fenny :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️this is good n easy, number hawa 5 star hotel ni uongo tu
2026-10-19 13:04:33
1
Ibude :
Cocktail kama hiyo unatumia Blue Curacao syrup sio pipi hizo ...., Syrup za kumix ni affordable kabisa Ukiwa na hiyo passion sio maperemende hayo 😃😃😃
2026-10-20 12:42:51
5
MAIMUNASAPI :
sorry kinywaji kinasaidia nn na ninakunywa muda Gani?
2026-10-19 10:07:27
8
Lizzy Eli Msuya :
ss tuliop kijijin tunawek nn mbadala wa hayo majan😁
2026-10-18 20:37:19
5
Mwanzalule Fumbakasa :
😃 Hiyo Nikinywa Ntalewa?!
2026-10-19 06:45:03
5
salome :
nimeipenda hio
2026-10-18 20:19:02
1
officialniccah1 :
Ad nmekufollow🥰
2026-10-18 20:10:20
1
Hellena kalaba :
oyo inasaidia nini sijaelewa
2026-10-18 21:54:14
2
Lǎnezy :
nil pata mmoja ana tak hivy sas maajibu nilikuw na pewa
p
sawa
asant
ndio
basi
2026-10-19 07:43:03
0
Sia :
Tunajiua taratibu😂😂😂😂
2026-10-19 20:35:45
0
🦋brinah🤍 :
jamn mbon hamnijib hayo majani ni majani ya nin ni mzumbash au
2026-10-19 15:49:33
0
CJ Barber :
Apo sawa sasa😁🔥🔥🔥
2026-10-18 20:05:04
0
To see more videos from user @255cindy, please go to the Tikwm
homepage.