@nilu_store_tz: 🥺tushamrefund mtu pesa yake kisa umeme, imagine unakuja kuweka order a day before na umeme unakatikaaa na muda umeenda other places za karibu wamefunga🤦🏽♀️🤦🏽♀️ mwisho wa siku unaishia kuvaa Sash mbayaaa kwenye graduation yako🥲 weka order mapemaa kuepusha hayaa mambo, Tupo Makumbusho bus stand 📍