country boy ft harmonize song watoto bit zinafanana😶
2026-10-18 19:08:34
25
DE YOUNG BEARⓂ️ :
Mwambie awe anabadilika kila nyimbo anazotengeneza beat ni hizo hizo
2026-10-18 18:03:55
238
Tizo Touchz :
achiaa dudeeeee🔥🔥🔥
2026-10-18 17:42:46
129
SIXTEEN MAGICIAN 🎩 🎧 :
KUMBUKENI JAMAA PIA HA COPY IDEA 💡... SO HE'S DOING HIS BEST ✊️
2026-10-19 09:07:14
69
iconiboe🎙️ :
tunaomkubali kingparazo tujuane Kwa like👆😂🙌
2026-10-18 17:42:29
64
Rally Addict :
Uachie na nan ...Mr T kashaachia kwa lazima😂
2026-10-18 18:42:27
89
mustafa :
this another one Touch
2026-10-19 03:11:12
1
ISSA MAHAMUDU :
🔥🔥 waaambiiiiieee haooo kuwa Touch is Touch mazeeeeeeee💯💯
2026-10-18 22:26:00
1
HAQIBU JR :
hili dude ni fireeeeeeeee
2026-10-19 04:46:10
1
ChiEF :
Ndo izi beat jamaa anataka kushindana na s2kiz 😂😂😂aya bana mwanetu
2026-10-18 21:28:10
58
EEEE :
piga amapiano tukulinganishe vzuri sasaa hauna amapiano hata Moja unajilinganisha na S2kizz, nakukubali wewe mkali ila kwenye amapiano umekatwa namba coz huna hata moja
2026-10-18 19:09:55
23
gipson shoo :
toa dudeeee tuingie mjiniiii
2026-10-18 19:40:30
1
MWANA DURUMA :
let's goooiiii
2026-10-18 21:02:28
2
Thoma Prat :
hatariii mbona
2026-10-18 17:42:14
15
user7946775469096 :
yes sir 🤝
2026-10-18 19:49:51
1
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
Mr t🔥🔥🔥
2026-10-18 17:39:08
8
Saddam Waziri :
mr touch anataka benz
2026-10-18 18:59:49
1
Mr kp ✅️ :
achiaaa kaka tunaingoja iyo ngoma kinoma tumeonja asali kabla ya chai dah🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-18 16:59:52
9
panya kalowa :
dhu hii ngoma kali mr T ametisha hatari sana
2026-10-18 18:56:16
7
🆕️CR NICE♻️ :
t touch ni namba 1 in TANZANIA
2026-10-19 06:39:22
6
FOREX INSIGHT TZ 🇹🇿 🇰🇪 :
s2kizzy
2026-10-18 18:11:30
17
Jaydenmbuzi :
NA HUNA CHA KUNIFANYA WEE BILLNASS 😂🔥🔥
2026-10-19 06:08:12
5
RAMA-C ON THE BEAT🪘🎶 :
hit kali sana izi level zombie bado sana 🔥😄
2026-10-19 09:09:46
16
Kachala98💎 :
Mnamrusha roho S2kizzy huku
2026-10-18 18:41:56
11
To see more videos from user @bill_nass, please go to the Tikwm
homepage.