@islamicswahilinet: WANAWAKE KAMA HAWA HAWATOINGIAPEPONI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 17:10:47 GMT
23985
3631
28
205

Music

Download

Comments

amina.kazigo
Ukhuty Minah :
WAISLAM WENZANG TUSIACHE SWALA
2026-10-18 19:03:06
20
salmapazi04
salmapazi :
Allah tujaalie tuwe weny kujistir amiiin
2026-10-18 17:45:36
4
saada9753
SAD :
subhanallah allah atustir waja wake
2026-10-18 18:41:49
5
asiya9861
asiya :
mungu turumiye wajawako tusamehe makosa yetu 🙏🙏🙏🙏
2026-10-18 19:23:11
2
zaitun9419
Zaitun ❤️‍🩹 :
Allah atupe mwisho mwema
2026-10-18 18:13:11
3
mwarabu7828
mwarabu :
allah akbr
2026-10-18 19:57:37
1
mwana2116
mwana :
allah akbaru
2026-10-18 19:45:20
0
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-10-18 17:45:30
0
zainabpaso
Zainab Paso :
subhannaAllah
2026-10-18 20:41:22
0
salma.kwedi
@Salma Kwedi😍🌅 :
Allah Akbar
2026-10-18 20:29:22
0
farida.khassani
Farida khassani :
سبحان الله
2026-10-18 19:44:02
0
zawadizaina
zawadi amina :
allah Akbar
2026-10-18 21:09:28
0
mamlas39
Mamlas🥰💋 :
Subhannallah
2026-10-18 18:11:41
0
neema40365
neema :
Allah Akbar,
2026-10-18 18:05:31
0
wahidahassam
Wahida Hassam :
Allah Atupe mwisho mwema
2026-10-18 18:53:43
0
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-10-18 17:45:49
0
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-10-18 17:45:23
0
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-10-18 17:45:57
0
juma.ubwe
Juma Ubwe :
asilimia kubwa wanawake dunia wameishikilia sana
2026-10-18 19:59:35
0
zay231210
Bfm :
😳😳😳
2026-10-18 22:34:45
0
lburhimmurokozi
lburhimmurokozi :
🤲🤲🤲
2026-10-18 19:52:11
0
lburhimmurokozi
lburhimmurokozi :
🥰🥰🥰
2026-10-18 19:52:09
0
jamal.salah.bujra
Jamal salah bujra :
😭😭😭
2026-10-18 18:47:51
0
khadja9868
Khadja :
🥰🥰🥰
2026-10-18 21:52:13
0
ilias.bin.aruna
ilias 🕋🧕☝️ :
🤲🤲🤲
2026-10-18 17:20:13
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About