@xinyuli093: ⚠️💔 Je, Kuoa au Kuolewa Tena Baada ya Talaka Ni Dhambi? 99% ya Watu Hukosea Juu ya Ukweli Huu wa Biblia! 📖🙏 Usikose! #TanzaniaTikTok #Mungu #Yesu #Maombi #NenoLaMungu
🙏📖 Je, Biblia inasema nini kuhusu kuoa au kuolewa tena baada ya talaka? Tazama video hii hadi mwisho ili tujifunze Neno la Mungu na kuelewa ukweli kwa usahihi. ❤️
2026-10-18 18:02:43
1
Mwinjilisti Israel Mwinuka :
😳"Alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe" mathayo 19:6 Yesu alifundisha hairuhusiwi kuachana. na kisha mtume paulo alisema mtu akipeana taraka asiingii kwenye ndoa mpaka mmoja wapo afe 1 Wakorintho 7:10
[10]Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe;
1 Wakorintho 7:11
[11]lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe.
2026-10-29 17:00:05
0
Fabiola Hakizimana :
Amen
2026-10-18 23:07:00
0
Jacqueline+255 :
Amina
2026-10-18 19:54:49
0
Yesus min favorit. :
Amen
2026-10-18 22:46:38
0
To see more videos from user @xinyuli093, please go to the Tikwm
homepage.