licha ya mambo yake ankot .Nimegundua ankol t anaakili sana
2026-10-19 13:01:06
25
Farida Castory :
lakin huyu anko t tukiaacha hayo mambo yake kama uongo au ukweli anajua yy na mungu Alie myumba ila anajua kuongeaga vizuri na anaonekana anaroho safi sana
2026-10-19 06:45:40
21
Rose :
ila apo nimekupenda unaakil
2026-10-18 19:50:33
19
Officially-iqrah-kidoti :
Wamefann
2026-10-18 19:41:12
19
BLACK PANTHER :
sikuzote mzazi hawez kumtenga mwanae hatakama awe na kasoro gan
2026-10-19 05:18:33
11
Amber tere Muuh :
Baba mzaa chema[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-18 19:39:05
8
UNJU REAL ESTATE AGENCY :
Mzaa chema mwenye ki Smart
2026-10-18 19:41:42
6
Jamila kabundi :
Ako ti Asante sana nimepeda jis unavomuogelea baba unahakili sana
2026-10-19 07:12:53
8
Hope Mhagama :
umeongea point anko t si wote wanawenza saidia wazazi wao
2026-10-19 03:36:30
3
people you may know🐍♒️ :
wengine wangekataaaa
2026-10-18 21:24:23
5
𝕆𝕗𝕗𝕚𝕔𝕚𝕒𝕝 𝕡𝕠𝕡𝕡𝕒🫶 :
✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼Anko t
2026-10-18 19:09:08
5
dyumamaryam :
Mashallah
2026-10-18 19:29:01
6
SHEY CHOCOLATE 🍫 🦋🦋🦋🌺 :
Wanafanana lakin
2026-10-18 21:59:34
3
Mercy_Collections :
ila kwel baba
2026-10-19 07:58:44
2
Grace Kihwili50 :
sanaaaa
2026-10-19 13:27:30
1
phiner(约瑟芬)yue se fen🇹🇿🇨🇳 :
kama ni kweli namfahamu huyu mzee
2026-10-18 21:04:56
3
Emmylizzy99 :
Safiiiiii sana
2026-10-18 19:37:21
2
nice 💜ahdam♥️ :
wamefann kwer
2026-10-19 06:02:34
1
sarahrenadi271 :
namunafanana sana😍😍
2026-10-19 16:51:46
1
dataz :
Safi sana, sikutegemea jibu zuri hivi kutoka kwako
2026-10-19 05:30:47
1
Echm❤️💯🏳 :
wamefanan
2026-10-19 18:02:15
1
To see more videos from user @tarakeatv, please go to the Tikwm
homepage.