@thewindsor_fly: TAARIFA KWA UMMA Jana, Oktoba 17, 2026, The Windsor Recruitment and Travel Agency tumefanikiwa kusafirisha rasmi vijana 14 kwenda nje ya nchi kwa ajili ya nafasi za ajira halali na zenye staha. Tunawashukuru wadau wa habari na vyombo vya habari vyote mliojitokeza kuungana nasi kushuhudia na kutangaza tukio hili muhimu. Dhamira yetu inaendelea kuwa moja: Kutoa ajira salama, za kisheria, na zenye kuwalinda vijana wetu nje ya nchi. Tunawatakia safari njema na mafanikio. #viral#tanzaniantiktok🇹🇿#fyp#viralvideo#foryou

The Windsor Recruitment Co.LTD
The Windsor Recruitment Co.LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 19:30:11 GMT
65678
1752
156
119

Music

Download

Comments

harith0832
harith :
habibi welcome to Dubai
2026-10-19 05:02:01
1
mylight426
my light🐝 🇹🇿🌎 :
A few moment later
2026-10-19 06:04:16
0
dorice.josia
Dorice Josia :
Mmmmh za mashambani[Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed] sio pw jaman
2026-10-19 05:13:39
1
mohammed.hamady
Mohammed Hamady :
uku kazi ngumu Waze si tuko uku
2026-10-18 22:55:06
8
fahadomary0
Abdullah mazurui :
kwa dubai bora nibaki tz mara 10000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
2026-10-19 06:24:06
5
mohamedynaftaly11
mudric 🇮🇹🇨🇦🇱🇷 :
hawajuw tu wanachokija kukutananacho
2026-10-19 01:29:41
2
abdallahhamza561
Dallaz :
wekeza nguvu kazi nyumbani bana tunakimbia kimbia bure tu humu mashamba yapo mahotel migahawa ipo
2026-10-19 05:55:14
1
hidayayasini
Hidaya Yasini :
Je wakifika huko hawapokonyi passport zao.
2026-10-19 09:29:18
0
ashasimaihaji
user6619279272918 :
ili upate kazi unatakiwa uwe naelimu gani maana namimi nataka kwenda kufanya kazi
2026-10-18 22:17:46
7
amir_saidi
Elephant :
The few moments later 😂😂😂
2026-10-19 00:32:41
0
wanjukkks
سلم رجل الي :
mm nahitaji
2026-10-18 19:54:44
0
bepatient547
Pure heart :
Namm nataman kwenda Nifanyeje
2026-10-19 05:27:38
0
sharifa.haruna69
Sharifa Haruna :
natamn jamn
2026-10-19 07:48:30
0
akmal.ahmeid.sahi
Akmal ahmeid Sahimu :
naomb na m kazi
2026-10-18 21:15:00
0
user7838598179077
Mamen! Rocky :
nahitaji kazi
2026-10-19 00:20:15
0
777dick
dick.son :
hizo hajira mbn sis hamtup
2026-10-18 22:18:32
0
zuhurashentawa
Zuhura Shentawa :
slm alkum mm naomba mumewangu anataka kwenda Dubai nitapataje nafasi Niko dar mbagala
2026-10-19 06:04:20
0
hidadyimma
𝒉𝒊𝒅𝒂𝒅𝒚 𝒊𝒎𝒎𝒂🛣️🚛🇹🇿 :
Mbona sisi wenye kila ktu iyo kazi atupati professional track driver ama kazi zinatolewa kwa maelekezo
2026-10-19 00:01:25
0
classicboy536
NASIRY MSANGY🕋🌹 :
me nahitaji nipo hapa dar ila nataka kujuwa ili upate kazi huko nje uwee na elimu gani
2026-10-18 21:29:17
0
daines.mathayo
Daines Mathayo :
je nikihitaji namimi natakiwa nifanyeje
2026-10-18 22:57:47
0
elizabeth77161
Elizabeth😘 :
wengine tupo mikoa ndiomana tuna kosa furusa
2026-10-18 20:33:03
1
mamy.maryam.mamy
Mamy maryam Mamy :
mbona ss hamtupi mimi nataka
2026-10-18 20:17:39
0
salome.emanuel0
Salome Emanuel :
mbn hamjibu sms na kuelewesha watu
2026-10-18 22:30:25
0
wazenj
🎶🎤🎧SOPHY WA ZNZB 🎸🎧🎶 :
namm nataka kaz zadani uko dubai napataje nafasi
2026-10-19 03:41:02
0
dada.sarah.sarah
user51982443454 :
kwan huku hakuna shamba
2026-10-19 03:52:50
1
To see more videos from user @thewindsor_fly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About