@shirati_tv: TAHADHARI MAUDHUI YA KUOGOFYA! PADRE AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA MSALABA MKUBWA KANISANI Padre Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada ya msalaba mkubwa kuanguka na kumwangukia akiwa katikati ya ibada kanisani. Tukio hilo lilitokea wakati Padre Patricio akihudumu kama paroko wa Kanisa la Perpetuo Socorro, katika eneo la Vicaría Centro, jijini Guayaquil, ambapo tukio hilo lilinaswa kupitia matangazo ya moja kwa moja. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Guayaquil limetuma salamu za pole kwa familia, ndugu wa shirika la Redemptorist pamoja na marafiki wa Padre huyo, huku likiwaalika waumini kuungana katika sala kwa ajili ya mapumziko ya milele ya roho yake. Taarifa hiyo ya rambirambi ilitolewa Oktoba 17, 2026, na Kardinali Luis Cabrera Herrera, Askofu Mkuu wa Guayaquil.

Shirati Tv
Shirati Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 19:31:02 GMT
41543
1005
121
113

Music

Download

Comments

anneexavier18
Anne Dollz 😍🥰 :
Nimejiita nimecheka 😂😂😂 jamani uwii
2026-10-19 06:14:24
24
eyoobig
EYOOBIG💫 :
YESU KAUWA
2026-10-19 01:17:43
28
fatmamini145
Fatma Mini :
ohooo bab pole
2026-10-19 15:07:34
0
rehemaphilbert
Rehema philnert :
poleni
2026-10-19 08:17:20
0
user9390074951506
Ally :
Mwenyezi MUNGU awaonyeshe ilio kweli awaepushe na,ibaada za sanamu ameen
2026-10-19 07:44:19
16
ismailfimbo277
Fimbo Tv :
yesu kaua
2026-10-19 19:04:29
5
user9275339233881
r@hm@ :
khaàaaàa
2026-10-19 15:16:35
0
tatu.hamza1
Tatu Hamza :
camera man alijuaje kama msalaba unadondoka lakin
2026-10-19 08:26:23
8
user8733271885002
user8733271885002 da shamy :
kwnn ale pesa za sadaka ?
2026-10-19 06:58:10
6
vairerhmodestus
vairerhmodestus :
Aisee mungu atupe mwisho mwemaa umelenga kichwani kabisaa😭😭
2026-10-19 06:06:49
11
mariamale72
mellah :
hapo Kuna mambo ✌️✌️
2026-10-19 05:41:09
5
hosannaakyoo1
hosanna akyoo :
kuna namna mungu kamuazibu uwez ukajua ya mungu mengi🥺🥺🥺🥺🥺
2026-10-19 03:56:11
7
japhet9759
[email protected] :
Mungu mpokee huyo mwanao
2026-10-19 14:24:07
3
user485407404010
FAI09 tz :
daa mungu nisame nimekazaa ila nimejikuta tu nimecheka😂
2026-10-19 14:42:17
0
rahmaty2002
💞رحمة علي 🥰 :
yesu ameua
2026-10-19 10:08:18
2
maryam.yunus07
Mum kidoty 🏵️🏵️ :
mung yes ameua
2026-10-19 20:28:42
1
user88754426103066
hurda :
siyo jamb lakuflaisha ila nimechekw mung anisameh
2026-10-19 16:41:34
1
mylovely37nasma0
chimamy🧕🏻🥰Tz 🤍 🧕🏻naah🤍 :
nimeshangaa hihii
2026-10-19 10:01:41
2
nuruh.emanulu
Nuruh Emanulu :
amen
2026-10-18 21:31:14
0
user93848281048751
teddy kisanga :
mungu nisamehe kwa kucheka🤣
2026-10-19 14:55:14
1
user4461001820176
gianna :
lazma kuna mambo ya siri hapo
2026-10-19 08:17:13
2
emmiliana820
Emmy titus :
Mungu amlaze mahali pema pepon raha ya milele umpe ee bwana
2026-10-19 05:14:33
2
user2014686279906
kaumbya :
Kwan ni kweli au?
2026-10-19 11:08:37
1
leilaty1
Baby leilaty🫣🫣 :
Kwan kaongea nin au niseme jina la movie please 🥺 ila nimecheka 😂😂😂
2026-10-19 11:57:10
1
user5337257777353
Esther zakalia :
usiwe na miungu wengine ila mim mungu awasaidiee
2026-10-19 12:55:55
1
To see more videos from user @shirati_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About