@its.muuh_88: Na tulimpa Luqman hekima, tukamwambia: Mshukuru Allah. Na Mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa ajili ya manufaa ya nafsi yake. Na Mwenye kukufuru, basi Allah ni Mkwasi Msifiwa. ( Quran 31:12 ) Na hakika tukishukuru zitadumu neema. Alhamdulillah #Mawaidha #HalalContent #MUSILIMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM #fypシ #quran_alkarim