@yusterwaseme:

Yustermastory
Yustermastory
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 19:50:24 GMT
100709
8038
406
132

Music

Download

Comments

lilian.dama8
Lilian Dama :
🥰🥰🥰🥰next plz
2026-10-19 19:08:11
0
stepppy0
Beatrice :
next please
2026-10-19 15:55:25
0
user33144304761
naimahdayyan :
mimi ndoa ya tina isipofanyika kwa kweli naacha kuifatilia ntaumia mimi
2026-10-19 05:50:32
60
safaritumbo2
Safari tumbo :
Courage masta
2026-10-20 02:00:08
0
loveness.002
LOVENESS 002# :
Naishiwa power mwenzenu Team Tina
2026-10-19 06:53:31
0
nadoemmy191
nado emmy :
mm natamani isifanyike tina arudi kwa erick tu
2026-10-19 02:19:28
11
khadija.ramaa
Khadija Ramaa :
nikiamka asubuhi nikijiombea siachagi kuombea ndoa ya tina kwa uwezo wa mungu itafungwa
2026-10-19 03:05:42
22
user53367054007704
Alice :
time daine ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-10-19 18:41:05
0
mamahaisam21
mama Haisam :
Tim tina tuweni na imani kama tina mwenyewe ndoa tunayo na tunavimba nayo na babygirl wetu mtarajiwa🥰🥰🥰
2026-10-18 23:43:43
16
user3530595852967
ashay yusuph :
@ndoa itakuwepo tu ndoa tunayo na tunatamba nayo Tina nerick tunawapenda sana
2026-10-18 22:46:28
17
user81403394185328
shadya :
next plz
2026-10-19 12:35:17
0
cute.candy22
✨ cute 🌹💘 :
tuko pamoja roho inaniuma sana kila siku tina alie tuu sokweli
2026-10-19 10:04:51
4
mamatwinselisha4
mama twins🦋🦋❤️🙏 :
Isipo fanyika mimi ndo wakwaza kwacha kutizama kwa kweli tume choka Tina kulia
2026-10-18 20:45:24
1
elizabety929
elizabety :
jaman mung ajaliy waowane mdada wawat ataumiy sana
2026-10-19 09:17:19
2
user61796326313155
natasha naleck :
kwanza mpunzisheni tina jamn kila cku yeye analia ndoa isipo fanyika nacha kwangalia
2026-10-19 06:22:32
1
kurusumumkumbahji
Kurusumu :
Mungu atajalia tuuu jamani itapita
2026-10-19 07:11:52
2
alex.shotto
🇿🇦Alex Shotto⚒️ :
sometimes vitu kama hiv vinauliza yaan unapenda mawazo ya mtuu daaa ispo fanyika nitaumia sana dear
2026-10-18 20:37:45
4
irenendumbaro
Irene Ndumbaro :
mungu ndo Kila kitu, naimani itafanyika tu
2026-10-19 14:48:31
1
nance571
user2709157394289 :
nerick mm cjui kwann namhis vibaya
2026-10-19 07:36:21
2
nindemeragloriose758
NINDEMERA GLORIOSE NEWLIFE :
Ndoa tunayo NERICK anamsimamo wakipekee wabalikiwe zaidi
2026-10-19 01:01:35
2
vee2271692014032
vee.gracious@😘 :
hakuna kitu chenye mafanikio na nuru mbeleni kikakosa misukosuko hayo ni majaribu tu naimn yatapita nawatxhnd vita kwa pamoja nawata oana vizuri
2026-10-19 11:37:08
2
mwazan.abdallah
Mwazan Abdallah :
mimi yalinitokea kwasasa nimempata mwanaume anaye nisamini nisha yasahau
2026-10-19 15:49:28
1
carolgithinji693
❤️carolgithinji693❤️ :
Tinah akikose kuoleka na Nerick walai sitai wafuatilia tena juu nitaumia tu
2026-10-19 06:04:14
1
jackkanyamale
kimya kimya :
yan isipofanyika naacha rasmi kufuatilia
2026-10-19 19:08:48
1
s.zaurati243
s.zaurati kimwanga chance 243@ :
Mungu ashindwe na kitu itafanyika kwa imani
2026-10-19 05:16:18
1
To see more videos from user @yusterwaseme, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About