@issayanga6: Rais huwa hachekei ujinga ata siku moja wachezaji 7 watatupisha kidogo. #Rais wa yanga #yanga sc #DaimaMbele #issayanga

Issayanga
Issayanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 18 October 2026 20:07:27 GMT
32307
2204
86
26

Music

Download

Comments

ally.buhulatz
Ally buhulaTz :
kaka sisi mashabiki tunaumia hatujaizowea yang hii daah inauma san
2026-10-25 15:57:49
1
helenyjames7
Heleny James :
yanga mlikosea sana sana kumuuza okelo.haijachukua mda tazama.azizi na okelo Bora mturudishie okelo wetu Aziz abak kwa mishangaz
2026-10-19 19:50:49
2
samwelikaroli703
Samweli Karoli :
sawa mkuu jitahid ili heshima iludi mana upande wapil wanabweka sana.
2026-10-21 13:51:20
2
neemaemanuel80
Neema Emanwel :
tusha kusamehe bureee
2026-10-19 15:22:19
2
naimajuma00
Naima@💕 :
hatamm nimeumia halivyoondoka okelo co utani
2026-10-21 18:44:42
2
balakamasanja217
Balaka Masanja :
2026-10-25 09:37:43
0
zayana815
zayana815 :
Hakunaga mkamilifu Heris, tunakuelewa sana, ukiongea hivyo tu tunajua una maanisha nini.
2026-10-19 11:30:12
2
neemaaron442
Neema duncan :
Poleni sana Wanayanga wezangu tusonge mbele tusahau yaliyotokea tupo pamoja
2026-10-19 16:54:58
2
florian.mzagila
Florian Mzagila :
siku hizi umekuwa mpole sana kwa wachezaji wanacheza vibaya, hawana mentality nzuri, physical coach aongeze mazoezi kwa wachezaji.
2026-10-21 18:51:54
1
happymbanga3
Mbena OG🦋 :
Na kama wachezaji hawamtaki kocha ndo watuumize kwakufanya kusudi leo nimeumia
2026-10-24 17:23:06
0
monicaboutiquetz
monica_boutiqueTZ :
yanga bingwa oyeeeeeeee
2026-10-19 18:49:14
1
josephina1040
happy :
ata ucjali tupo pamoja daima mbele nyuma mwiko
2026-10-19 08:18:45
1
hs.nyerere
hs nyerere :
Tumekusamehe tunahitaji ubingwa.
2026-10-19 20:43:17
1
asha.mzule
Asha Mzule :
kocha benchi Lina Felisha timu yetu mpaka sasa kocha halijapata kikosi cha kwaza ltuna muomba okelooooo arudi kama vp
2026-10-19 09:53:11
1
rhoda2434
Rhoda :
tumekuelewa mkuu shukran
2026-10-24 20:08:32
1
baharia.mbangwile
Baharia Mbangwile :
tukonawewe pamoja tukifungwa tumefungwa sote,,, Tukishinda tumeshinda wote,, Piga kazi
2026-10-20 05:49:20
1
shadrack_simion
shadrack_simion :
hapo sasa sisi hatujawahi kufungwa
2026-10-19 04:44:04
0
agnes_26tng
agnes_26tng :
Asante,msema kweli
2026-10-23 16:30:09
0
witnessagustino74
witnessagustino74 :
tunasubiri kuon mazur
2026-10-25 11:08:15
1
habibtynuuh
habibty nuuh :
tupo pamoja daima mbele
2026-10-23 10:20:14
0
user50426616563800
user50426616563800 :
asante rais wetu
2026-10-24 21:15:45
0
user4961960618797
user4961960618797 :
tuko pamoja boss
2026-10-24 08:16:30
0
shannymbaruku
shanny baby 😍😍 :
tume kusamehe
2026-10-23 11:11:31
0
domenata.malko
Domenata Malko :
tunakupenda saaana naitakuwa tutashinda tuu
2026-10-21 19:39:51
1
merryjohn552
Merryjohn :
💛💛💛
2026-10-19 05:38:32
0
To see more videos from user @issayanga6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About