nitengeneze nama kama hiii yakumuhusu meme wngu tafazali nakuangalia nikiwa msumbiji 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-19 05:21:24
1
Husna begam3 :
mashallah..
2026-10-19 11:16:10
0
saifsaify20 :
Km unanisema vile 🥹🥹 teke juu ya mshono
2026-10-19 10:42:50
1
rukiayusufu405 :
♥️🫂
2026-10-19 10:48:34
2
Khatib Mohamed :
😢
2026-10-18 21:52:07
1
kinowe :
ni kweli uyasemayo mwenzio nahangaika
Usemayo si mawiyo ni maneno muafaka
Hii sehemu niliyo sijawahi tononoka
Mimi kupata kijiyo yaweza chukuwa mwaka
Watu wakifanya choyo hata nikifuga paka
Juwa nayaya nduguyo kama kuni nachomeka
Mambo niyapitiayo n'shida kuyatamka
Mie sishi siza moyo wasema sijaumbika
Natumika kama toyo ela sijanufaika
Kake napewa toleyo la kunifanya kihoka
Hisema chaja kiliyo mbingu zikatikisika
Weye ndiye kimbiliyo kuuka nahamanika
2026-10-19 11:33:22
2
To see more videos from user @betizaghassani, please go to the Tikwm
homepage.