ALLAHUMA SAHILANA MIMA NURIDU WANAJINA MIMA NAKHAFU BIFADHLIKA YA LATWIF×99
KWA AMBA HAMJAELEWA HIO DUA INASOMWA MARA ×100
dua unaanza kuisoma kuanzia 1 hadi 100 ndani ya hio dua kuna jina la Allah ya latwif kila ukianza kusoma dua hio ukifika kwenye jina ya latwif ndio unalisoma mara izo 99
ila jumla ya dua ni mara 100
2026-10-19 14:14:10
24
lellah :
apo kwenye 999? sijaelewa, sio 199
2026-10-19 03:51:13
6
نوف 🖤 :
اللهم سهل لنا ما نريد ونجنا مما نخاف بفضلك يا لطيف X199🤲🏼🥹