@breathe.tanzania: Discover the Flavours of Tanzania!. Contact us today to book a package that includes an exclusive cooking class, where you’ll learn how to prepare delicious, authentic Tanzanian dishes. Immerse yourself in Tanzania’s rich culinary culture and take home new cooking skills and unforgettable memories!
Breathe Tanzania Safaris
Region: TZ
Monday 19 October 2026 04:24:09 GMT
Music
Download
Comments
fety :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]iyo liniiyooooo
2026-10-19 17:30:08
2
ok 77 :
mbona kam marekan ain tramp
2026-10-19 18:29:50
1
Cecy Richard :
Nan kawaambia wamenyee ndizi kwenye kanga za jumuia jamn 😁
2026-10-19 17:07:39
22
mrs uk :
Ivi jamn nime choka san🤣🤣
2026-10-19 19:02:26
0
sasatztz🇹🇿 :
Mnawatesa hawa watu dhambi hizi mnapeleka wapi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-19 17:23:41
1
Ginimbitz :
Kuna namna wanazishika..🤣sijui mtanielewa?
2026-10-19 17:48:50
7
Saphy Njaule :
hizo kanga ndo basi tena
2026-10-19 16:27:15
5
Namayan :
😂😂😂I can see the lesson is going well
2026-10-19 16:38:43
1
grace :
washatuharibia kanga za jumuiya hawa watu
2026-10-19 18:16:34
6
Eliainenyi Mosha :
kwenye kanga Tena ndugu zangu ,au sio shida zenu
2026-10-19 14:45:03
11
noe :
mm ni uyo anaemenya na kisu
2026-10-19 17:00:23
1
Joica Lema :
heee hamjawaambia zinashika madoa sugu hizo kanga
2026-10-19 14:00:21
5
jd4reel🧢 :
waii phamephika makanda Kangeni tena njeewa
2026-10-19 17:34:36
1
nah56 :
si ungesema ndizi zutaharibu khanga😂😂😂
2026-10-19 18:21:52
1
janeth kisali :
daah nimecheja sana
2026-10-19 16:16:27
1
Mom Kendrick king 👑 :
na ndizi za moshi zilivo ngumu 😅😅
2026-10-19 17:13:23
2
Catherin Shio :
😳😳😳😳😂
2026-10-19 16:06:14
2
Imaa/c :
wanawaza mbaliiii😂
2026-10-19 18:29:41
1
blessings :
😂😂😂 sawaa
2026-10-19 16:26:53
1
Nearleyla :
hizi kanga nazionea huruma na hizo ndizi
2026-10-19 17:26:59
1
Anna Riziki :
jamani maganda yanawekwa tena kwa kanga ngachoka choki ndaaaoo
2026-10-19 17:27:34
0
Priska Lyimo :
huyo wa kwanza ni mm kabisaa mtu asinitoe na asiniulize ni kwanini namenyea kwenye kanga yangu
2026-10-19 19:17:36
1
Ms. Ndossi Yusuph :
jamani jamani uwiiii anaweka maganda kwenye kanga
2026-10-19 15:40:35
2
Lucky Luckie 🌹 :
Tangu nizaliwe leo ndio nimeona mtu ana menya ndizi kavaa miwan [Tears of joy]
2026-10-19 19:49:47
1
Restituta :
jamani watalii na ndizi halafu ni Moshi hyo🥰🥰🥰💐💐🥰
2026-10-19 16:17:39
2
To see more videos from user @breathe.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.