@ramseyramazani64: Ukitaka kufanikiwa mshirikishe mke wako katika Mambo Yako. #viralreelsシ #UshauriWaMapenzi #ushaurikwavijana #ndoa #MkeMwema

RAMSEY RAMAZANI
RAMSEY RAMAZANI
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 04:32:32 GMT
57931
2992
165
1412

Music

Download

Comments

user9349954980078
Edy :
ukwel kabisa najivunia mume wangu kwakua ananishilikisha kila kit mpaka pesa.zake nazituza mimi
2026-10-19 17:39:48
10
user90456676happy
Happy :
sijawahi kushilikishwa chochote maana hata vyombo nyakupikia anapewa hela wifi angu ananinunulia
2026-10-20 09:04:31
1
malikishambo773
[email protected] :
Umesema kwel kak
2026-10-31 17:01:10
0
amina.bakari34
amina bakari :
kaka tunavumilia tu mungu ndio anayejua
2026-10-19 08:41:15
7
user61093448243588
JayJaytwo :
Kaka yangu, sii wanawake wote utashirikisha katika mipango yako au siri yako. Utamwelezea mpango au siri yako, kesho yake mama yake yuajuwa, marafiki zake waajuwa... Kwa hivo sii wote.
2026-10-19 14:45:46
1
sophiaemanuel241
Sophia Emanuel :
wanaume wote wangekuwa hivi wengi wangefanikiwa kwa haraka mungu akuongezee miaka ya kuishi uendelee kuwafungua fikra zao
2026-10-20 20:23:28
2
kendrick..kedrick
double k :
mmh nimeambiwa hayanihusu at balka ziltoka kwao wakt nilmkuta mmlala hoi
2026-10-19 07:45:16
5
aziza17557
Aziza :
dah kaka mungu akubariki sana kwa ujumbe huu wanasikia ila wanajifanya kama hawajasikia
2026-10-24 04:21:57
1
user2838034790396
user2838034790396 :
uko sahihi
2026-10-31 17:19:01
0
aminaizack510
MR.BOSS :
hataMimi mumewangu ananishiri Kisha Kila kitu Kwa kweli mume wangu mungu ambariki mume wangu
2026-10-22 09:08:13
2
grace.mcharo86
baby G♥️🍯 :
Mimi hata anaingiza shingapi sijui napewa pesa ya kula nyumbani tu😭😭😭
2026-10-31 17:02:02
0
user2620062450450
Mom maheer :
nilikua mim tu
2026-10-31 15:19:33
0
user6376518074020
user6376518074020 :
wengi wanawashirikisha mama zao kwanza na sio wake zao
2026-10-22 05:29:20
2
coolmiss08
NicoleAnointed :
amina
2026-10-20 04:47:34
1
stephania.steph3
Stephania Steph :
hongera kaka wakumbushe
2026-10-19 16:19:13
1
biubwabiubwa327
Daubah hennah&makeup fashion :
kweli kakaangu
2026-10-19 13:19:22
1
user1678628399814
Tirina :
wanaum wangekuw kam ww
2026-10-19 16:44:27
2
user527528605827
user527528605827 :
sawa bro
2026-10-19 09:45:23
0
veronica.pastory61
Veronica Pastory :
💞💞💞💞
2026-10-31 18:26:14
0
zuuh3263
Zuuh🩷 :
Kwel kak mkubwa
2026-10-30 06:03:12
0
fatuma_mwaipopo
fatuma mwaipopo :
yani kaka unaelewasana mungu a kubaliki sana
2026-10-31 18:16:40
0
salimamussa861
Salima Mussa :
kaka nalia umenigusa
2026-10-30 16:18:35
0
user7777498712142
mapendo asumani :
nikweli kabisa
2026-10-30 15:13:57
0
haffieutafrahi
hafsa twahiri :
mm nipesa yakula mchezo umeisha
2026-10-31 17:04:32
0
user6137347996133
odile :
nikweli kabisa habatuambiake papa
2026-10-19 05:16:14
0
To see more videos from user @ramseyramazani64, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About