@santa_bizzy25: Kupiga Simu Na Kusalimia Wala Sio Tatizo.. Tatizo Ni Yale Maumivu Unaposhindwa Kuwa Msaada Na Muda Huo Huo Wewe Ni Tegemezi..

Izzo_Bizness25
Izzo_Bizness25
Open In TikTok:
Region: US
Monday 19 October 2026 04:47:36 GMT
3020
346
11
10

Music

Download

Comments

muft775
isma :
my current situation 😭
2026-10-19 09:43:28
0
joh.2152
FineMan 🫥 :
1 Jikubali imean accept the situation 2 Be. open ili uwe free kwa kuwa ni watu wako wa karibu 3 Help when you can yan kama kuna changamoto umeelezwa huwez kusolve achana nayo ila ile unayoweza deal nayo
2026-10-19 07:09:55
3
kigoma.boy3
Kigoma Boy :
Nyakat ngum hazidum 🙏🏽
2026-10-19 08:54:12
1
jay.mass.jargon
Jay mass Jargon TMS :
Jambo kubwa ni kuwasiliana nao tu bila kujal watakua na. uhitaji gani maana wakati mwingine mawasiliano na salamu ni muhimu na bora kuliko hata misaada na hiyo ndio maana ya upendo kwa maana upendo hauchagui upo kwenye hali gani
2026-10-19 06:30:12
1
mr.gucci811
MYG😎 :
IZZO BIZNENGA fact 😎
2026-10-19 05:53:39
0
ramswolfatuma
ramswolf :
fact
2026-10-19 07:53:44
0
dumathugar
rich melody :
nomaaa sanaaa mazee nandoinavoo kuwaa kwasababu wengi tunapendaa kuchukulia vitu personal
2026-10-19 07:35:52
0
user8846632861476
santos :
nakukubali sana izzo
2026-10-19 04:53:22
0
ramswolfatuma
ramswolf :
mdamwingine huwa ni heri kuficha maumivu kwa wanao tutegemeya ni kama kumuambia mama aliyekubania kwenye list ya ajira
2026-10-19 07:57:26
0
johnthuva
John Thuva :
👌👌
2026-10-19 07:44:13
0
dogo.gacqy_tz
dogo Gacqy_tz :
🙏🙏🙏
2026-10-19 08:30:47
0
To see more videos from user @santa_bizzy25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About