@upendo.r.centre: Ni safari ngumu kwa mzazi kuona watoto wengine wakikua na kujitegemea, huku mtoto wake bado akihitaji msaada hata kusema “Mama” au “Baba.” 💔🙏 +255777952323 #UpendoRehabilitationCentre #UlemavuSiKushindwa #WazaziWenyeNguvu #WatotoNiBaraka #DisabilityIsNotInability

UPENDO_REHABILITATION_ CENTRE
UPENDO_REHABILITATION_ CENTRE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 04:47:41 GMT
47719
2361
89
32

Music

Download

Comments

hawaommy867
hawaommy867 :
oooh GOD
2026-10-19 13:30:51
0
brunotwemanye
Tikoma :
Autism pole sana mamaaa
2026-10-19 10:42:28
2
janetmusonye
janno fabu :
God is faithful
2026-10-19 05:50:53
0
jasmine.magomba2
Apple🍏 :
ndicho ninacho kipitia mm kwa mtoto wangu
2026-10-19 05:52:23
19
cute.fetty91
cute fetty🎀 :
nifurah saan nilipo muona huy madam wallah
2026-10-19 05:36:52
4
wambigeorge952
Wambi George :
nashukuru Mungu kwa kunikutanisha na ichi kituo,nakufunika kwa damu ya yesu Mungu akupe maisha malefu
2026-10-19 07:30:52
2
hadija.ally.hozza
Hadija Ally Hozza :
jamani mko wap
2026-10-19 11:58:52
1
specaa8
specaa :
Pole dada nimejikuta nalia
2026-10-19 11:20:48
1
humphreybahati
Humphrey Bahati Jr :
Mwenyezi Mungu akubariki sana na moyo huo endelevu.
2026-10-19 09:47:16
1
mrtha.lyatuu
Mrtha Lyatuu :
mnapatikana wapi
2026-10-19 07:52:35
1
ester.mbutu
Ester Mbutu :
pole majaribu nimtaji jipe moyo tunayaweza katika yeye atutiaye nguvu mungu asimame na wewe kipenz tutashinda zaid yakushinda kwa dam ya yesu🙏🙏
2026-10-19 11:07:08
1
geeofficially0
my 💋G :
mdogo wangu Samsoni mungu akupunguzie azabu za kabli nimekukumbuka uliteseka sana mdogo wangu mzuri
2026-10-19 10:49:24
1
emmyswai3
Emmy Swai :
Kama hujqpitia hyo acha tuu, nimeskia uchungu sana ila bado najivunia kua mzazi jasili!
2026-10-19 11:24:48
3
doublee044
double e :
mbona na mimi nalia
2026-10-19 10:43:28
1
van.bro1
van bro :
nd ninacho pitia mm😭😭, mwanangu wa kwanza ninezaa nikiwa nimetoka kumaliza chuo, lkn mwanangu ana mwaka sasa hatembei nakai Wala hajawai ita mamaa 😭😭😭 I feel painful 😣 daaah😭😭😭
2026-10-19 12:34:18
1
im.ward.simon.madu
I'm ward Simon madunga :
mungu ty atupe mwisho mwema na watto wetu hao awatunze yye jmn
2026-10-19 12:17:04
1
quizbeab1
Shanie :
napitia hayo eh mungu tuonee huruma na sie 😢
2026-10-19 07:44:48
1
fanni1850
fanni :
inauma sana wakwangu ama myaka mitatu ila nakukaa Bado jmn Mungu tu 💔
2026-10-19 07:14:03
1
annasamweli
Anna Samwel :
utaratibu wakuwaleta ukoje jamani apa kijijinii kwetu wapo kama wa 3
2026-10-19 07:10:21
1
user6866790242923
user6866790242923 :
duuuu😭😭
2026-10-19 09:21:53
1
annamkumbonaikuba
Anna Mkumbo naikubali :
da inaumiza sana jamani mungu tusaidie[Pray][Pray][Pray]
2026-10-19 08:31:47
2
malaika.208
gel👸🧚‍♀️ :
inaumiza jamani wakina mama mungu pekee ndo tumaini letu😭😭😭
2026-10-19 07:22:07
1
momyfahady
momyfahady :
Mungu akutie nguvu
2026-10-19 08:44:07
1
veronica1.29
Veronica :
jmn mungu awatie nguvu
2026-10-19 09:14:18
1
leyra021
LEYLA ❤❤❤ :
inaumizaa sana😭😭😭😭😭😭😁🙏🙏🙏
2026-10-19 07:58:46
1
To see more videos from user @upendo.r.centre, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About