@ezetz35: Part 1 VITA YA MKE MWENZA

EZE
EZE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 04:50:00 GMT
128914
6081
477
225

Music

Download

Comments

saumu_m
ummy_athman :
Mke Wa pili hajielewi kabisaaa..
2026-10-20 04:32:19
160
happymsuya447
💕Happie💕=98 :
Ilooo limefukuzwa
2026-11-01 11:42:48
57
user695653670874
happy kidoti :
wale wakwanza piga keleleeeeeeee
2026-11-02 12:25:04
16
hawasangwa581
Hawa Sangwa :
dawa zimeisha
2026-11-01 05:39:31
58
joansiamsengi
Jodjod🌸🔐 :
kwani wanawaambiaga awawapendi wake zao eeh😂😂
2026-10-19 07:28:20
92
felly.kata
felly kata :
mwanaume yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali umdharau mke wake.
2026-10-19 10:43:44
76
mariethamsuha910
marietha msuha :
leo leo
2026-11-04 04:53:10
0
ms_joujuou
J🤎 :
Kwan mnaazaje kuwa n wanaume waliooa Mbn mm siwezi jaman ..Kwahiy anakwambia mm na mkewangu ila nakupenda wew duh yanipite
2026-11-01 12:29:34
22
rehema.mrisho1
mamu.ntar112 :
Mume Mitano tenaaa🥰
2026-11-01 09:16:40
31
neema.wa.anna
@%neema @% :
kweli mi chizi lakin sijafikia kwenda kwa mke wa mbaba wangu
2026-10-27 19:21:25
12
user7459362412161
madam :
et had Mimi unanifukuza😂😂😂ko alijua hampendi mkewake😏😏😏
2026-10-21 03:07:30
16
iam_cesma
iam_cesma :
Asante MUNGU hii ktu ykugombania mwanaume ilinipita pemben
2026-10-19 11:33:58
19
asmadagila
Da💎Asma🦋 :
Mungu asinipe hili jaribu nitafungwa mimi🥹
2026-10-19 22:17:27
17
maureen11137236
Mrs Mswazy 🦋 :
Yani apo Kuna mambo Hy✌️
2026-10-19 07:03:41
8
smileprincess113
smile princess :
ooh mm na mke wangu tunalea watoto tu simpendi😂😂😂
2026-10-21 05:59:53
9
zay.cute79
zay ❤️❤️❤️ :
mke mkubwa ananafasi yake jaman
2026-11-01 16:29:04
6
momo_binpaul
🦋mrs banda😍😍 :
hadi raha bi mkubwa safiiiiiiiiiii
2026-10-19 10:01:34
12
kama.karonge
kama karonge :
bi mkubwa hoyeee jaman hoyeee mie liniambia kuwa anapendwa kuliko mm baada kaniambia nimemloga
2026-10-19 08:39:36
14
felly.kata
felly kata :
halafu unanidhalilisha na makamera nakuacha natafuta mchepuko mwingine
2026-10-19 10:47:32
6
jasminekitori
JASMINE KITORI :
nimejikuta nacheka
2026-10-19 08:04:49
9
imjane060
Dear me 😊❤️🦋🔐 :
Huyo mchepuko anampenda sana mshkaji na ndo tatizo Hilo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-01 12:10:13
5
zulijana001
zulijana001 :
That’s rong the second wife shouldn’t force
2026-11-01 10:45:42
6
jaffaryswife1
Mrs. Jaffary. :
Wapo wengi yamewakuta ss wamebaki hawana la kusema,mke mkubwa hoyeeee
2026-10-19 14:34:36
6
nady_cakes
Nady_cakes :
hv mnajuaga hawawapendi wake zao😂poleni..ukitaka umuudhi mwanaume gombana na mke wake ndio utajua km unapendwa au unachezewa
2026-10-19 13:20:16
7
its_aaliyah2703
Aaliyah :
Mim nikiwa kama jiran mbeya🤣🤣🤣
2026-11-03 18:17:34
0
To see more videos from user @ezetz35, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About