@eliza_midek: Asante Mungu kwa kunipa uzima na siku ya Leo nakutegemea siku zote @tonny_official2 @g_midekotonny #usa🇺🇸 #typ #tanzaniantiktok🇹🇿 #canada

elizamideko
elizamideko
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 04:55:51 GMT
273844
24040
262
62

Music

Download

Comments

farukuabedi228
Faruku Abedi :
una undugu na mama amini? mbona mnafanana
2026-10-19 05:43:14
43
ben.rizo6
BENEDI HASSAN :
mama Amina wetu
2026-10-19 09:08:24
0
user3179237185093
germaner :
Eliza Mideko@ni mmoja TU duniani nakupenda sana maua Yako pllz🌹🌹🌹👌
2026-10-19 13:29:40
8
loveness.mwaki7
Loveness Mwaki :
🥰🥰🥰🥰mungu anilindie ww na familia yako kpenz
2026-10-20 21:45:29
4
user9295781675218
user9295781675218 :
ila wasukuma niwazuri
2026-10-19 10:44:37
5
mariamhamis876
mariamhamis876 :
Mama amini ni mdgo ako mna mmefanana sana
2026-10-19 08:08:34
12
neema.ryoba98
🌹🌹GraceRyoba🍎🍓🍒 :
Penda sana wewe kipenzi cha ton🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-20 16:36:30
4
witness.gwanzilwa
Witness G'wanzilwa :
kama uzuri , Uzuri unao tu dada yangu mideko ( Ngheshaghe Ushemeji wane[Tears of joy][Tears of joy] )
2026-10-19 05:02:56
3
user5752777861275
Asiah :
unafanana na linah sanga
2026-10-20 14:56:11
0
time.maombi.onlin
MSAADA WA NDOTO :
MUNGU akubariki wewe na uzao wako
2026-10-19 12:05:27
1
isabellapati34
isabellapati34 :
we muzuri bwana munayendana sana na mumewo nawapenda bule mungu awalinde Eliza💞
2026-10-20 19:23:26
2
miriamrichard81
Miriam richard :
umenyoa umependeza sana
2026-10-20 13:19:48
3
olest3333
olest🧨Bey✨️🔥 :
nkukubar mayooo
2026-10-21 04:26:26
1
paulineg911
pauline🥰 :
NAUPENDA ELIZA🥰
2026-10-20 11:51:20
1
ranny.bithia
ranny bithia :
daaa eliza wangu nakupenda sana 🥰🥰
2026-10-21 11:32:14
1
queenzablon
Queen Zablon :
pambania maisha Yako kipenzi usiwasikilize wambea
2026-10-21 00:37:24
1
yajue.haya
yajue haya :
dada nimekupenda sana kwa mafundisho yako ubarikiwe sana
2026-10-26 00:57:33
1
marry.bregea
marry bregea🌹 :
mambo Eliza nakupenda Mimi naomba kuwa ndugu Yako tafazari nakukubali sana dada Eliza naomba namba yako
2026-10-21 08:21:50
1
sarah.bonifas.luf
Sarah bonifas Lufuko :
Eliza mambo
2026-10-20 09:40:16
1
mercyngira3
Mercyngira :
aki wewa dada nakupendanga
2026-10-19 10:46:31
1
poply.poppy
💫Mummishly💜 :
name of the song please
2026-10-19 18:35:47
1
yusrath.mzazi
zuh yasso :
ulivyonyoa umefanana zaid na dada ako we love you
2026-10-19 16:35:58
1
user74138653938812
listarcheyo :
wewe dada unajuamini sana nakupenda sana mngu akulinde
2026-10-19 10:58:53
1
user6292034983784
user6292034983784 :
nakupendaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-27 12:53:16
0
foperjosaphat
foperjosaphat :
waooooooo ungera wenimzuri sana mamy nakupenda
2026-10-27 14:01:29
0
To see more videos from user @eliza_midek, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About