Allahumma inni dhwalamtu nafsi dhulman kathira,Walaa yaghfiru dhunuba illa ant,faghfirlii maghfiratan min in'dik warhamnii innaka anta ghafuru Rwahiim
2026-10-19 11:03:23
16
Video za kiislamu :
📚 SEMINA YA MOMBASA KWA AJILI YA AKINA DADA ✨
Tutazungumzia kitabu kipya: “Maswali 100 na Majibu: Hukumu za Masuala ya Familia,” kilichoandikwa na Dkt. Islam. 📖
📅 Jumanne, 20 Oktoba 2026
⏰ Saa 9:00 asubuhi – 4:30 jioni
📍 Islamic Centre – Mombasa
🎟️Kuingia ni bure
🍱 Chakula cha mchana ni bure
📔 Kitabu Bure
Tafadhali fika mapema—milango itafungwa saa 9:45 asubuhi.
2026-10-19 07:48:20
1
Eagle 🦅 :
naruhusiwa kuomba kiswahil?
2026-10-19 10:35:30
1
Mrs Ally💐 :
je endapo ninashida na siwezi kuisoma kwa Kiara u ivo sirihudiwi kuomba .kwa vile sijui Kiara u
2026-10-19 13:06:14
0
Omary Kanzieni :
shukran shekh we2
2026-10-19 08:05:17
1
user1023414422054 :
mungu akuzidishie ELIMU sheikh uweze kutuelimiaha zaidiiiiii
2026-10-19 10:29:57
2
Maria Ivone Teixeira :
insha Allah
2026-10-19 12:53:34
0
Nimrat :
mashaAllah
2026-10-19 19:58:05
0
MpesaKing :
Allahuma Inni dhalamtu nafsi dhulman katheerah wala yaghfiru dhunuubah ila ant
2026-10-19 14:20:13
1
spiffy-.gwal :
amiin
2026-10-19 11:22:42
0
Albam Aboubakar :
Mashaallaah !
Nafuatilia kutoka Mtwara,Tanzania.
2026-10-19 11:40:02
0
Abooyeah💯 :
Ameeen 🤲
2026-10-19 13:07:58
0
rahiyan :
mashallah
2026-10-19 07:37:13
0
#NDAWAINE@ :
Kuna maimamu wakiswalisha hata hiyo atahiyatu ujamaliza katowa salaam huwa wananiudhi kweli
2026-10-19 17:01:45
0
salummohd8 :
Allah azidi kukuhifadhi dr hakika Allah amekujaalia hekma ya kufikisha elimu na sio wale wengine kila siku malumbano tu
2026-10-20 06:23:06
0
user321872193678 :
na kuingia yaomb ki2 gn
2026-10-19 11:02:57
0
Haiyam Fatawi :
shekhe tunatumiya kwa faradhi au sunna
2026-10-20 11:32:09
0
rustaq42 :
Allah
2026-10-20 14:41:01
0
Hulka Mgeni Hulka :
شكرا
2026-10-19 08:06:07
0
Ablarukky22 :
mashallah
2026-10-19 07:44:12
0
FARISS🌿 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-19 07:19:55
0
Siraji Sooraji :
🥰🥰🥰
2026-10-19 16:39:32
0
To see more videos from user @videozakiislamu, please go to the Tikwm
homepage.