@dukahuru: #onthisday

Dukahuru
Dukahuru
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 05:25:37 GMT
117417
5511
164
293

Music

Download

Comments

missbby_4
Emmy collection🛍️ :
Mi naongeaga uongo nawadanganya hatar
2026-10-19 07:08:20
142
user934834974594
blax :
saw mkali nkbl[Starstruck][Starstruck][Starstruck][Starstruck][Starstruck]
2026-10-20 10:02:47
0
user8723196538496
45 :
mimikwetu nilikua nilikua[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-19 16:47:23
0
joa25h
joa25h :
Sasa Mbn umeshachelewa nimesharopokaaa waaaiiii🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 12:34:18
11
nadia.chaz
Nadia chaz :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila kaka leo umeongea ukwel kabsaaa
2026-10-20 04:47:33
0
user4446138166335
Delly store :
yote 9 la 10 mimi nikilewa basi 🤣🤣 mnajizolea kila kitu doctor nisaidie
2026-10-19 07:10:57
29
bakedbychawe
baked by chawe :
mimi kwa uongo sasa hakuna anayenijua jamani wanadanganyana ninayowadanganya 🤣
2026-10-19 07:32:19
37
amyramalon
butterfly gelow🦋 :
ai gatchuuuu tichaa😂😂
2026-10-19 06:53:59
14
nasrashemaghada
nasraadam🥰🥰 :
ila njaa🤭
2026-10-19 07:35:43
5
mamaas_3
Da Love💃 :
😆😆😆😆😆nimecheka Ila ndio tunajifunza
2026-10-19 06:24:13
5
user580056777691
user580056777691 :
mmoja atuandikie ayo maeneo jmn tupo nje ya muda kusikiliza ad mwisho
2026-10-19 07:22:56
5
user8044443050657
johari :
jamn zaman nilikuwa mkimya sana ila saiz naongea sana tafadhali nisaidie ili niweze kuacha
2026-10-19 08:56:05
11
annakabebetour4
annakabebetour4 :
Ukweli mtupu me nlificha dollar zangu nkawa n furaha nkajikuta nmeisema saiv tupo tunaitumia wote😏
2026-10-19 09:05:16
3
sumaiyahussein739
Sumaiya Hussein :
mm jmn muniombee niache uongo😂😂😂ukiona nimekwambia kitu changu cha ukweli umshukuru Mungu😂
2026-10-19 07:37:53
34
bsandi65
Bright Sandi :
1. Unapokua na hasira.😏 2. Ukiwa na furaha😳 3. Ukiwa na njaa 😁
2026-10-19 18:08:06
7
user525511204442
Clever one :
🤣🤣 wote kwenye comment mnadanganyaga sawa wenetu
2026-10-19 08:20:54
4
bbywinksy
☘️Beauty💲 :
ila njaa😂😂..ilifanya nikamdanganya mtu nampenda🤣🙌🏾
2026-10-19 16:29:51
1
pokiboe2
pokiboe :
ya 4.ukiwa umelewa😂
2026-10-19 14:17:17
1
cyber_capt
Derry :
Kwa kweli
2026-10-19 05:30:53
5
glowstudio.tz
GLOW STUDIO :
1.Unapokuwa na hasira 2.Unapokuwa na furaha 3.Unapokuwa na njaa (zote mbili)
2026-10-19 13:30:43
3
momo_momo507
Momo@10 :
🙌🏽
2026-10-19 06:02:45
3
evelynebutoyi2
Evelynebutoyi :
nikiwa na asila nafoka hadi majirani wananisikia[Snicker]aibu jamani
2026-10-19 11:26:33
1
gloryhealth
Mrs frank :
mmmm yani mimi nikiongea nitaongea na mtu wa mbali mno kias kwamba hawez kuniletea madhara jmn
2026-10-19 12:03:06
2
jasminchuna
Jasmin Chuna :
Aaaa mi nivowadanganya sasa watajutaaa😅😅😅😅ukweli wangu hawaujui ng'ooooo
2026-10-19 07:21:08
2
daughterofgod493
Praise😍😊 :
Hapo kwenye njaa zote mbili😂😂pamenifanya hadi nikufolo😂
2026-10-19 16:45:55
1
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About