kufungiwa leseni mtu mmoja nakufa watu 50 tuchague nini 😳😳😳😳
2026-10-19 10:29:22
11
Drochu_meddy :
Huyo Dada nae nikajua anajielewa eti kumpiga picha mtu bila ridhaa yake ni makosa kisheria…Kama ni mtoa huduma za kijamii na anakengeuka unamrecord kwa ushahidi….Tusijifiche kwenye kutegemewa na familia yake je hao aliowabeba hawategemewi na familia zao?? Vipi ilitokea ajali?? Madereva punguzeni majibu ya kiburi …
2026-10-19 08:12:39
7
Traveller1705🦅🦅 :
Acha kutetea ubaya, ukiona mtu amechukua hatua ya kumrekod derevai ujue Dereva ameambiwa lakini hasikilizi. na kama kuna vitu anapitia kama stress nk hakutakiwa kuingia kazini.
2026-10-19 19:01:21
2
SALASALA MICROFINANCE :
hawashauriki
2026-10-20 08:04:50
1
MKATORIKI :
ile ya jana imeniuma sana kaka
2026-10-19 11:36:46
1
Joseph Faida :
sahiiiiii
2026-10-19 14:10:44
1
scooby the hyper tz :
ila kweli mzeee
2026-10-19 17:05:43
1
sky woods faniture :
dereva anajibu majibu ya hovyo
2026-10-19 08:07:56
2
nzenga lukinda :
Kwr kbc
2026-10-19 12:25:21
1
Benson :
kweli kaka tatizo watu wakiona unafanya kazi awajui kkama anafamilia
2026-10-19 11:06:57
1
Nenga Tronix🦺 :
sahihiiiii
2026-10-19 10:11:26
1
abushehe :
kunawengine hatushauliki mkuu
2026-10-19 15:01:15
1
CALL ME HONEYBADGE! :
shida ni namna nzuri ni kuongea na mtu mm naamini hakuna mtu asielewa ila namna ya kuzungumza nae
2026-10-19 09:00:13
1
ibrahsaleh_kigogo :
kwan uderev hatoi huduma kwa jamii
2026-10-19 18:03:35
1
user538145646521 :
kwaiyo akichochora watu wakiumia hao familia zao utazisaidiaje
2026-10-19 07:12:12
1
D14 _SKY WAY,,,004 :
lakini hapo hawaangalii kosa la kupiga picha au kumrekodi mtu bila ridhaa ya mtu!!!!wanaenda kufunga lessen dah
2026-10-19 11:59:00
1
abdul suka :
big up sanaa kiongozii unafaa kuaa kiongozi kwa kweli umeonaa mbalii sanaa
2026-10-19 17:15:22
1
Mr . Hustler 🇹🇿 :
Kijana hakuna kitu kinachofanyika bila utangulizi watu wa usalama wanaita mazungumzo ya amani mpaka inafikia hatua ya kumrecord dereva maana yake yalitangulia mazungumzo ya amani na hayakuzaa matunda na hapo ndipo hatua ngumu inapoanza kufuata ikiambatana na kutafuta ushahidi na msaada kwa records
2026-10-19 10:23:27
1
x@nt0zy :
oy madereva wengine wanakuwa na majibu mabaya na wengin wanakuw wabishi
2026-10-19 20:46:18
1
Blair Brail :
mnaoongelea madereva nyie aiseee road pagumu mnooo na hakuna dereva anatoka kwake akaue watu road ilaaa ufikishaji tuu wa taarifa ndo unafanya muone madereva n wasumbufu