@castonytv: TAARIFA YA KUSIKITISHA: Padri aitwaye Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia baada ya kuangukiwa na msalaba mkubwa wa mbao alipokuwa akiendesha Misa katika mji wa Guayaquil, nchini Ecuador, iliyopo Amerika Kusini. Tukio hilo limetokea jana, Jumamosi, tarehe 17 Oktoba 2026. Padri huyo alikimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu, lakini juhudi za kumuokoa hazikufanikiwa na hatimaye akafariki dunia. 😥 RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA