@najelbuilders:

Najel Builders
Najel Builders
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 05:58:00 GMT
13090
691
31
33

Music

Download

Comments

babuu.rangi
Babuu Rangi :
Primer haisadii chochote zaidi ya kutangaza biashara yenu tu. Kuna vitu mbadala ambavyo vinafanya vizuri kuliko hiyo primer. Kwa mfano Sika waterproof na Sika 905W
2026-10-20 06:26:24
0
amina.abdul233
Baby Girl G :
Ndoo Moja Mnauza Shingapi
2026-10-19 15:43:38
0
johnmuna629
john muna :
uhakika
2026-10-20 08:50:07
1
amanimolel
amanimolel :
kiukwel umekosea kwamb unataka kusem BAAD ya msasa unapak bainda badala ya praima
2026-10-19 19:29:30
0
bidadr.b8
bidadr b8 :
hii nataka iwe nyekundu natumia kampuni gani
2026-10-27 09:42:33
0
ramadhaniabdala4
Ramadhani :
Bei gani
2026-10-20 17:05:23
0
dottolunyungu
Machina the Don :
shingapi kwandoo Moja alkalli Lita 20
2026-10-30 17:05:04
0
emmanuelart_tz
Emmanuelart_tz :
nataka tufanye biashara naomba nipo butiama
2026-10-20 01:19:54
0
user4841099301903mtmmwa
mtumwa family :
nata rangi za bati
2026-10-19 19:07:28
0
nuhumzabibu
mzabibu Og :
Bei yake
2026-10-20 09:03:09
0
samwelihosea
samweli,hosea :
2026-10-21 19:30:32
0
ramadhaniabdala4
Ramadhani :
Ukowap
2026-10-20 17:05:31
0
user8448286934695
user8448286934695 :
uyo alocomments wakwaza ajui kitu sasa anataka abishe nini anazani baada skiming msasa kinachofuata nini kama so binder binder inatata vumbi primer ni kwaajiri ya kurinda ukuta kuzuiya fangasi
2026-10-20 13:00:54
0
user4147488736776
decor plaster :
unaongea kama fundi au mfanya biashara?
2026-10-26 14:27:28
0
habibabdul455
Habib Abdul455 :
Hujui kuelezea bidhaa yako
2026-10-31 08:53:31
0
ramani.studio.uchoraji
RAMANI STUDIO TANZANIA :
Karibu kwa ramani zenye ubora na za kisasa tunwasilisha popote kwa uaminifu na tunafanya biashara kote Tanzania.Karibu
2026-10-31 13:36:35
0
To see more videos from user @najelbuilders, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About