@islamicswahilinet: SIKILIZA MAWAIDHAHAYA MAFUPI KUNAKITU UTAJIFUNZA Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 05:58:51 GMT
12935
2064
16
67

Music

Download

Comments

ayubu7223
Ayubuabdul@gmailcom :
ALHAMDULILAHHH
2026-10-19 06:09:58
3
zaylay_official19
zaylay official :
swal muhm san sisi atuswal japo mungu ametupa kila kitu ila tukifsnyian fadhila wenywe tuna saminian kwann sis sasa atyfany alo amrisha allah wakt yey ametup kils mtihsni hnn jmn
2026-10-24 08:08:30
0
bubakar8230
abubakaramuri :
kweli kabisa kiongozi wangu
2026-10-19 06:38:33
1
ifah__01
𝑺𝒘𝒂𝒉𝒊𝒇𝒂ᥫ᭡ :
Wallahi ilikua naamini ivo lakini wapi Mungu nilimuomba anioneshe ttue clour za walonizunguka heeeh….Najuta mana sijaheal mtu anaongea maneno mpk unajiuliza kwaio mm mbaya kiasi hichi…Watu wa skuizi hawakumbuki wema.. wanakuenezea fitna asaa kwa watu wanaokupenda
2026-10-19 15:51:03
1
ashur612
🤍✨Sakinatulqalb✨🤍 :
wallah alhamdulillah 🙏☺️☺️
2026-10-20 11:40:19
0
user9811807385407
Abuu Aisha assalafy :
Jazakallahu fik ❣️
2026-10-20 06:31:04
0
kirikuu158
Kirikuu :
tusiache kuswali na Allah hafaidiki na chochote Katika ibada zetu ela ni kwa faida yetu
2026-10-19 13:09:13
1
asma.shehe0
asma shehe :
naam
2026-10-19 18:34:44
0
user716944775
سلمي :
Sana shekhe
2026-10-19 12:00:02
0
badru.hassan
Badru Hassan :
Ishaallah
2026-10-19 15:19:39
0
muhammedmaganga
Muhammed Maganga 🇹🇿 :
Allah Akbar
2026-10-19 16:05:19
0
muhusini_ali
Muhusini :
🥰🙏🏼
2026-10-23 13:37:46
1
.abumarjaan7
أبو مرجان7😍 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-19 19:57:50
0
hussein.seif32
Hussein Seif :
😢😢😢
2026-10-19 19:13:22
0
maedaleah.mussa
Maedaleah Mussa :
🥰🥰🥰
2026-10-19 10:56:17
0
yunswhiter
White :
🙏🙏🙏
2026-10-20 16:56:56
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About