@udakuu001:

udakuu
udakuu
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 19 October 2026 06:03:11 GMT
31387
1107
249
606

Music

Download

Comments

mstrinie
M$trinie🫟 :
Basi kwa pesa gani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-21 09:39:30
3
user7266382611637
🥰🥰Annet..🥰 :
Wanawake niwaambie,mume mzuri hayuko titok,mume anae jielewa hayuko tiktok
2026-10-21 00:27:24
348
biaisha57
Bi Aisha57 :
mimi nami mume wa tiktok simtaki kabisa
2026-10-21 00:32:48
84
minajjali
Mamake Najma & Abrar 💙 :
Allah zidi kuniepusha na mwanaume wa aina hiii jamani keeee
2026-10-21 03:27:07
114
dardeen1
ablautchalein dardeen :
mwanamume anae jielewa hatukani wanawake..
2026-10-21 07:18:05
30
www.delarhumbahenry
Henry Washington's :
Sheria n Ile Ile [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-21 01:54:01
0
wildian.bae
wildian 🇸🇦🇶🇦🇬🇧 :
huyu mwanaume anajuwaa ata mamake pia mwanamke😌sisi kama wanawake tumekasirika .... respect your mother's
2026-10-21 04:09:07
43
fathush67
فاطمة 🥰🤌🙏 :
alafu wote waume wa watu SUBHANALLAH siombi ila kuna vizazi watazaa wanawake pia huu msemo utamrudia🥺ALLAH ndie MUHUKUMU pekee...wamesahau ata MTUME (S.A.W) alikua akioa kina nani ili kuwapa heshima,ulinzi na nafasi ya kuishi maisha bora.
2026-10-20 22:31:24
39
user239939228331163
bby shuu :
mungu niepushe na wanaume wa TikTok mmi
2026-10-21 09:55:36
15
038beiby
🦋AGESA 1 🦋 :
lakini sweet moyo hajasema kitu🤔🤔🤔mbona hayaa
2026-10-20 10:17:59
39
mamito38
its_mamuu🦋 :
Kwa Hemedy Kuna vitu hivi ✌️
2026-10-21 08:28:57
5
expensiveshit7
🦋chioma 🦋🇶🇦🇳🇬 :
learn to respect women jamani 🥺🥺🥺
2026-10-20 07:29:39
45
prettynunnah1
prettynunnah :
haya maneno tutakuja kuwakumbusha
2026-10-21 03:52:07
16
kondegul1
🦋💗KONDE GHURL🦋💗 :
Kuna maisha baada ya gulf
2026-10-21 04:21:53
8
sanurahinzano0
@sanurahinzano :
kwa mume gani basii
2026-10-21 08:57:46
6
user042908300
Minaj :
eti wanaume TikTok
2026-10-21 12:03:13
1
queenlatifa001
QUEEN LATIFA :
Sasa hilo neno mtu hawezi lificha kidogo hadi ulitamke live live jamani? mungu wangu💔💔💔💔💔💔💔💔💔
2026-10-21 02:08:48
6
shiz6351
💓🤍🦜 Tall lady🦜🤍💓 :
Lakini mbona wamudhalalisha hivi🫴🥹
2026-10-21 02:44:47
10
userbusy0810
💖🇰🇪Aysher 🇶🇦💖 :
Mungu niepushe na wanaume wa Tiktok 🥹🤲
2026-10-21 07:24:12
8
cuteasmita8
MWANA'S STYLES &MAKE UP🛍💄💎. :
Allah atarudishia kizazi chako haya maneno Allah hasahau
2026-10-21 03:55:00
9
eyyll3
leila kamwila :
jamani mungu atulindie vizazi vyetu ..
2026-10-21 02:25:27
9
muarabu0005
mamshy :
we kaka kuna mungu
2026-10-21 11:13:07
2
it.official.myra
🦋it official myra🦋 :
kwa mwanaume gani ndio maana sishobekei wanaume mm
2026-10-21 10:49:17
3
mammyb16
Mammy B🇰🇪🇰🇪 :
mume mwema hajianiki TikTok Yuko fb Tena hakuna picha zake
2026-10-21 05:02:38
3
daa.k3
daakchi❤️💯🔥💪 :
niseme ama nipite😌😌😌😌😌
2026-10-21 00:19:36
4
To see more videos from user @udakuu001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About