@dr.manyaunyau.usa: Mtu yeyote anayesumbuliwa na vitu vibaya katika mwili wake ikiwemo kutambaliwa na vitu vibaya, uchawi, sumu, kuota ndoto za ajabu, kusahau na kila kitu, anaweza kuchukua glasi moja nyeupe, akachukua siki (vinegar), akachukua na kitunguu saumu akaweka kwenye uvungu wake wa kitanda kwa muda wa siku tisa. Baada ya siku tisa anatakiwa kuvitupa vitu hivyo na hapo atakuwa yuko tayari kuua nguvu zote za giza na maisha mengine yataendelea. ​#TibaAsili #UlinziWaKiroho #NguvuZaGiza #AmaniYaMoyo #DrManyaunyau

Dr.manyaunyau 🇺🇸🇨🇦🇹🇿
Dr.manyaunyau 🇺🇸🇨🇦🇹🇿
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 19 October 2026 06:04:30 GMT
268
14
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.manyaunyau.usa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About