[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] imebidi nku follow
ilibaki kidogo ninunulishwe machine mpya kwaajili ya hicho kioo
2026-10-20 05:55:56
0
muu :
sasa mi kinachokataa ni chadereva
2026-10-19 12:32:01
1
yvss1r :
noma sana rav 4 na harrier imenisumbua sana
2026-10-19 10:06:39
3
Alex Mwalyoyo :
Mie kinashuka cha kwa dereva. Natatuaje?
2026-10-19 12:43:20
2
Kachege car electrical🚘🛠🇹🇿 :
Nasolve san ilo swala wengi linawachanganya
2026-10-19 13:28:51
3
Aubri2023 :
Jomna me x 2 miez tofsuti fundi anasema raba imeisha tn anamwambia mume wangu anawekeaga nn sijui mhhh 😂
2026-10-19 20:25:09
0
kingkelia.5 :
vinakuwa vnapoteza kumbukumbu unaweza pia uka double switch
2026-10-19 18:21:36
1
Miroller🛼Proo🇹🇿 :
Gari langu mark2 Ina fanya ivyo
2026-10-19 08:50:13
1
perfect.s98🇹🇿 :
Yangu inafanya hivo kweny mlango wa dereva
2026-10-19 18:15:05
2
WAGY ELECTRIC :
Safi sasa unakuta upande wa kushoto ulukua unafanya kaz fresh gafla masta switch inashindwa kushusha na kupandisha mlango wa nyuma changamot huwa nn
2026-10-19 18:56:23
1
sangaD :
PIA UKIKUTANA NA GARI CABLE YAKE IPO LOOSE KIDOGO spring imewiki, pia ykifanya givyo inagoma, toa mashine badiri soring yenye tension then fanya hivyo mpyaa.
2026-10-19 13:41:02
1
Eddo Paul :
je kama ni upande wa dereva kwenye master control
2026-10-19 10:11:44
1
To see more videos from user @damelo.autotech, please go to the Tikwm
homepage.