@motherchildwellness1: 🤰❤️ UNATAMANI KUITWA MAMA? UNAANGAIA KWA MUDA MREFU BILA KUPATA UJAUZITO? Changamoto za kupata ujauzito zinaweza kuhusishwa na mabadiliko ya homoni, matatizo ya ovulation, maambukizi au kuziba kwa mirija ya uzazi. 🌸 WOMEN FERTILITY Huduma inayolenga: ✅ Kurejesha msawazo wa homoni. ✅ Kushughulikia maambukizi ya mfumo wa uzazi. ✅ Kuboost ovulation (kuchochea utolewaji wa mayai). ✅ Kutathmini changamoto za urutubishaji wa mayai. 📲 Wasiliana na HealthyFit Clinic | Dr Geaz ☎️ #womenfertility#twins
afya ya mama na watoto
Region: TZ
Monday 19 October 2026 06:13:50 GMT
Music
Download
Comments
Irene correction$costmects :
Jmn. Nahitajiii plz
2026-10-19 20:19:51
0
fravi tz :
May God protect u till delivery our beautiful sister
2026-10-19 19:10:14
0
neema nguwo :
Ameni Amen Amen Amen
2026-10-19 17:21:38
0
Samili isaya :
mme wangu ameniacha kwasababu siwezi kubiba mimba niombeeni namimi 😭😭
2026-10-19 08:49:22
19
nashy_love.2 :
IAM SCARED
2026-10-19 20:02:31
0
Bagdady Malongwe123@ :
mmmhh jmn me natok ukuuh 🙌🙌
2026-10-19 20:41:56
1
Mpampa_tz :
mmmmmmmmmmmmh
2026-10-19 20:07:26
0
Getrude Mganga :
amin amin amin
2026-10-19 19:58:09
0
DHANIFA YUSUPH :
mungu na mm nisaidie nipate mtt
2026-10-19 21:11:25
1
chenjeu_tz🇹🇿779 :
mungu wape nguvu mama zetu kwa tabu wanazopitia
2026-10-19 19:53:03
4
0658934669 :
nataman ATA ningekwa Mim jamn IV wengine tunakosea wap
2026-10-19 18:01:09
1
it's nay :
nilikua naenjoy nikimuona mwanang akichez km ivo🥰🥰
2026-10-19 20:40:56
2
Penina Aruni :
Amina namimi natamani siku1 namim nijekuitwa mama
2026-10-19 19:46:03
2
merkiadmabeja0 :
kunasiku tumelala namkewangu nikamshika tumbo nikaona mtoto anacheza vile niliogopa sana
2026-10-19 20:56:51
2
Ben 🇹🇿 :
mke wanq anamimba ani mtot akianz kuchez ivo 2mboni nikiqux 2mbo lake naoqop
2026-10-19 20:33:41
1
Teddy❤❤ :
daa laha sana pale unapoona mtoto anacheza napenda sana
2026-10-19 20:50:07
1
jeni :
kwakweli jaman hii sio sawa kabisa
2026-10-19 14:53:11
2
Juliana mariam :
ee Mungu nikumbue na mimi
2026-10-19 18:02:01
0
groly frank💞 :
ameeen napokea mapacha wang
2026-10-19 18:17:54
0
pn brand :
nisadye mungu wangu na mimi sku nitwe mama
2026-10-19 17:55:33
3
Jordan sizya :
mama wote duniani mbarikiwe sana
2026-10-19 18:23:20
1
mwanah s :
Amen nimebakiza week3 tu ntampokea mwanangu
2026-10-19 16:18:53
2
Ma T :
Eeh mungu nikumbuke na mm
2026-10-19 16:56:34
1
yuu cutie💕 :
amen mung balik kiumb changuu na mem kiwez kuchez
2026-10-19 17:37:15
1
Julieth Daniel :
kama yupo kwenye tumbon kwangu nastuka
2026-10-19 18:29:41
1
To see more videos from user @motherchildwellness1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.