@john_madeje:

John Madeje
John Madeje
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 06:15:33 GMT
108549
3421
90
293

Music

Download

Comments

kauzen067
Kauzen :
Mbona benki hawatumii hii mbinu
2026-10-19 07:14:32
121
joree330
JOREEN :
kwisha ngoja nikatengeneze mafuta yangu nimwage[Tears of joy][Tears of joy]nikanunue mabox nifunge nipost nafanya delivery [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-19 09:16:28
0
mamaas_3
Da Love💃 :
Ngoja nikapost mabox ya cake nijidai nafanya delivery lakini ukweli ni kwamba napata oder moja kwa wiki🤣🤣
2026-10-19 09:34:18
18
sintymorine
sintymorine 🤎 :
Kumbe sasa lile duka litanikoma 😂
2026-10-19 08:38:23
10
user8740253130586
ukty Noor :
mama ntilie tunaijua hii [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-19 07:47:05
10
queeng32682
queen_lishe nuts🥰👌 :
ngoja nikamwage unga wangu wa uji mie😂😂😂 au nikanunue ufuta na karanga nimwage🤣
2026-10-19 07:41:30
9
frdjk255
$$$ :
mbinu hio ndio waliotumia company ya red bull waliweka vikopo vya red bull vikiwa empty vimetumika kweny ma dustbin kila sehem na gym, sehem za public kila Kona kwahio mtu akiona anajiuliza mbona watu wengine wanakunywa hii kitu ndio ilipopata soko kubwa ulimwenguni
2026-10-19 10:57:57
8
ulimwenguperfumes
Ulimwengu Perfumes :
sema brother na wateja wanaiona hii video😅😅
2026-10-19 09:35:38
2
china.ndogo.muheza
CHINA NDOGO Muheza tanga :
watu wa taka nao wanakusubir na faini
2026-10-19 11:27:22
1
bontown2610
BONTOWN :
Tutakuwa machizi sasa
2026-10-20 03:36:57
0
salavianagodfreyk
salavianagodfreyk :
sasa hii itafanya maduka yawe jalala
2026-10-19 08:16:47
3
bestillandknow77
BE STILL AND KNOW :
saikolojia hiyo. Watu wanapenda vitu vinapendwa na wengine. wakiona wengi wametumia moja kwa moja inavutia wengine. by the laws of human nature by robert greene
2026-10-19 11:18:23
0
engineerprince3
Engineer :
Bank 🏦 wanafanyaje
2026-10-19 12:56:15
0
mshilazyquality76
MSHILAZY🇩🇰🇲🇾 :
Bank 🏦 wanafeli wao
2026-10-19 12:31:28
0
venny_49
venny_49 :
Na benki wangefanya hivi hata mimi ningekuwa naenda kila siku
2026-10-19 13:29:44
0
atuoger
Atouger the Souger :
mimi siko ivo naenda duka safi
2026-10-19 12:27:58
0
nkaaammi
ELLY🦋🩰 :
Ukitaka kujua nenda sokoni kwenye meza haina mtu simama pale jifanye unanunua utaona na watu wengine pia wanakuja pale kuangalia bidhaa au kununua
2026-10-19 12:53:33
0
salavianagodfreyk
salavianagodfreyk :
hata mituma ukiona watu wamejaa unasogea
2026-10-19 08:17:25
1
user3619040185969
Ray macake :
Ngoja nikanunue box za cake nyingi nipite nazo sokon
2026-10-19 10:52:15
0
neemaathanazi1
@NeemaAthanazi :
siyo bongo hii
2026-10-19 10:09:49
0
dicksonmrema4
Barack jr :
hii nikwel me nachana mbao siku mashine zinafanya kazi ndo kunakia na wateja siku kupo kimya na wateja hawaji
2026-10-19 12:11:15
0
hakyphilip
Haky Phillip :
sasa ikiwa biashara yako ni service sio goods ita bidii uropokwe ama
2026-10-19 18:05:05
0
maziku34
Ginger the barista :
nadhani na mabank yameona hii clip kama mimi na waifanyie kazi
2026-10-19 10:16:08
0
aishadreamscollection
aishadreamscollection :
Video zengine uwe unatutumia dm kaka. 😂
2026-10-19 11:31:07
0
fundimaikoabdimgw
Fundi Maiko Abdi Mgwao :
kwisha
2026-10-19 07:02:10
0
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About