Huwezi amini nimebahatika kupata mtoto mmoja mpaka leo najutia nahisi kama nilikurupuka,
2026-10-19 11:22:26
16
Pink mellow :
kila siku nakutan na fact za kunifany nisizae
2026-10-19 22:15:21
5
Yusuph ngelewa mwajanga :
ukipunguza hasila kunajambo apa
2026-10-21 12:03:18
3
Dianta Vibe :
alaf mm nina miaka 28 nina watoto saba na wote siish nao😁
2026-10-25 20:11:24
2
Kihalikihahe🎶🧠 :
Kuna kaukweli flani ivi😂
2026-10-19 09:30:06
4
Drick :
cdhan kama kuna mtu alioshindana na nature akashinda
2026-10-19 10:55:21
2
user Ney kitchen 🧿888 :
hamjakatazwa kuzaa ila tu unapaswa kuwa na chaguo na kuangalia je nikizaa mtoto wangu atapata anachotaka na haki zake zote kama mtoto na si kuzaa ili wewe mwenyewe hujiwezi
2026-10-19 18:26:25
3
Nazifuonegroup :
umema kweli
2026-10-19 20:00:48
1
Mrisho Bon :
Yuko sahh
2026-10-19 16:46:55
1
Shasha_solo :
Kweli kabisa
2026-10-19 18:11:08
1
BUDA masai :
sahihi mmoja anatosha
2026-10-19 17:17:39
2
Special boy back up :
Ukweli 📌
2026-10-19 11:26:05
2
Nah.nyagani🧿🧿 :
2026-10-20 09:26:12
1
lucy :
🤣🤣ana ka percentage ka ukweli 😂😂
2026-10-19 18:40:29
1
Ezechiel Kvro :
yanii mimi tulipo fukiya mahubiri yame kuwa mengii,mpaka mimi n'a shindwa n'a kukosa kipi haswa ni bora ,Ku zaliyana ni desturi mubaya kivipi kwamfano
2026-10-19 08:32:27
4
kinguluila8888 :
Nina jirani yangu ana watoto 9 na mtoto wa kwanza Yuko form three,najiuliza hao watu aliowaleta ata zeeka ana hangaika nao kifupi yeye hatsishi kabisa muda wote atakuwa busy nao kuwatengenezea future 😳😳😳😳😳
2026-10-19 16:49:32
2
Erasmus Mallya :
yeye alipatikanaaje?
2026-10-22 04:43:38
3
Akwilina Mbaza :
Mbona wanataka watu wa kufanya kazi kwao wanaaka wa nini ?
2026-10-21 08:24:46
1
j :
kweli kabisa
2026-10-19 21:09:17
1
Masoprotas :
ubinafsi2
2026-10-19 20:05:00
1
To see more videos from user @africaislight, please go to the Tikwm
homepage.