@yasiningitu: Kumbe faini za Tanzania Bara ni rahisi sana, Tsh 30,000 hujavaa mkanda, Zanzibar kosa hilo hilo 349,000 😢 Patrol kila sehemu, sio unaandikiwa, Miezi miwili iliyopita wamefunga karema barabarani ya ukizidisha Mwendo, gari haijakaguliwa unakatwa faini moja kwa moja no majadiliano, utatumiwa tu ujumbe kwenye simu yako. Unadhani utaratibu huu uje Tanzania Bara ili kupunguza kukutana kwq Askari ya madereva, vipi na hizi faini zije Bongo ili kukabiliana na ajali za kizembe.
Yasini Ng’itu
Region: TZ
Monday 19 October 2026 06:46:20 GMT
Music
Download
Comments
ROGER ZANZIBAR :
balaa huku saiv
2026-10-19 08:35:57
12
Haji Study :
unauza gari unalipa faini🤣🤣🤣
2026-10-19 09:53:28
10
Sandals chap :
Wazanzibar njoeni mtujibie
2026-10-19 08:06:28
7
ZINDE :
looooo 👌
2026-10-19 10:31:25
0
user538145646521 :
Ssa znz kwa barabara zp utazid 80
2026-10-19 07:49:25
2
Ahmed :
Hakika zanzibar hakuna faini ndogo honda mm imenishinda nimelaza ndani
2026-10-19 13:02:26
3
Nuwayria Nassor :
ila hapa vichogo hawagusi ila kwengine utaskia ubaguzi kwani si ni nchi mojaa
2026-10-19 12:58:06
5
jumA jecha :
Sisi Wazanzibari tunaongozwa na wageni hawana huruma na wananchi tunamtegemea MUNGU tu lakini Mategemeo yetu hakuna nisilo na mwisho baada ya Uchaguzi unaokuja litabadilika tu. tunategemea Atakuja kutuongoza MZANZIBAR HALISI.
2026-10-20 04:16:44
1
GoDWiLl :
usitutishe
2026-10-19 09:06:36
1
Hybrid City :
Tuache utani Zanzibar faini ni kubwa balaaa balaaa na nusu tena kwa east africa hapa bongo naona sisi tuna faini ndogo zaid
2026-10-19 08:52:06
3
msauzi :
nikweli kaka
2026-10-19 11:10:31
1
𝐎𝐁𝐀𝐃𝐈𝐀≈༆𖣘🥑🥑 :
Huko ni zanzbar sio Tanzania 🤣🤣
2026-10-19 11:26:58
2
cheda54 :
Zanzibar kuna Fine za kibabe sanna.
maaana wananchi wamelalamika mpka basi lakini watawala hawajataka kusikia, na waliposikia walijibu tumeweka makusudi ili muingie adabu...
kwhiyo haga bara inaweza kuekwa fine Milion na watu wakatii, kutokana na nature ya viongozi wetu.
2026-10-19 12:29:37
0
Abdulrahman Haji :
bussen
2026-10-19 08:39:10
0
lfc.boy.66 :
iyo speed mwendo kasi inaanzia 51 km/h damn
2026-10-20 04:50:07
1
kombo :
Wewe unahisi wazanzibar wameridhia hiyo hali ya faini hatuna la kufanya ila ni pesa nyingii sanna
2026-10-20 07:33:17
0
mnyamani :
kwa hali hiy nitakodi kila siku
2026-10-19 10:39:01
1
Chesco Babloo :
UPO SAHIHI BROOO
2026-10-19 08:29:48
0
Bab.saleh21 :
Bila kutajwa Zanzbar au neno Wazanzibari hakuna content inayotoboa..😳
2026-10-19 18:22:32
0
user2969385518005 :
BARA RAHISI HUKU ZANZIBAR TUNAKOMOLEWA KWA MAKUSUDI LAKINI MUNGU ATALETA KHEIR
2026-10-20 13:55:05
0
kihimbimkalala :
maisha yenyewe dhiki sana vipato vidogooooo lakini faini mzigooooo. yaani tunakomoka sio haba
2026-10-20 10:57:57
0
aka_officia_l :
huku usijee😂
2026-10-20 09:33:08
0
Abubakari Mohammed🇹🇿 :
2026-10-20 08:59:47
0
captain price :
Na watu wanakimbia fresh tu
2026-10-20 08:22:56
0
Mzemaga :
We acha tu
2026-10-20 12:22:47
1
To see more videos from user @yasiningitu, please go to the Tikwm
homepage.