@lightcasttvkenya: "Ruto kusema nimekataa maendeleo ni uongo, akisema hivyo anamaanisha nimekataa kuingia broadbased. Siwezi ingia broadbased. Ajenge hospitali na mimi nitoconvert hospitali ya Kijana Wamalwa iwe university!"~Natembeya
huyu atapata maendeleo mingi kwa county yake in the next 10 months ....siri ni kuoppose serikali
2026-10-19 10:13:12
32
Moses Oduor :
Ati hatuwezi kuwa na hospital 4 kwa county😂
2026-10-19 08:41:11
11
gilroykiprotich :
Heri kijana wamalwa ikue university the building design is better suited for that. nursing station na acute room iko in different places watu wakosa aje kufa
2026-10-19 11:01:02
0
A.n.t.h.o.n.y :
na leo nimeona Ambulance ya Trans zoia county kwa emergency door ya MTRH😳
2026-10-19 12:56:04
0
GulfCaptain 254🇰🇪🇸🇦 :
Sharp boys na girls washajua Trans-nzoia inaenda kupata maendeleo mob coz is now being watched everywhere in kenya akili banaa
2026-10-19 13:03:00
0
Abumurshid :
anataka university ikue na hyo italeta job opportunities
2026-10-19 11:10:30
0
Abiud :
I love this guy
2026-10-19 07:48:02
18
J king💥💥 :
sasa pesa ya kuunda soko ulitoa wapi
2026-10-19 08:39:55
4
EUGENE PETER :
the guy wants you to sing 2 tam we are not falling for that 😆
2026-10-19 10:05:58
3
Arap Mayiek :
we acha hospital zirun yote ,,, unataka vijana watoe wapi kazi
2026-10-19 08:04:51
2
peterbunyige :
Acha double speak 😂 Ulisema utasimamisha
2026-10-19 08:01:22
2
Wambua :
We all agreed that don't be too blind and stupid to support nonsense... Ruto is clearly playing politics with development. he is just a joke
2026-10-19 12:44:37
0
Red Civilian :
sa na shida ni gani
2026-10-19 12:39:29
0
FULL TANK :
2026-10-19 09:48:45
0
Abumurshid :
hakuopose hataki kuingia broadbased
2026-10-19 11:09:49
0
kip :
jaribu kupinga
2026-10-19 08:38:05
0
mercy wattimah :
Nani Ajenge Hospitali Ruto? Huyo hawezi ,ni vitisho baridi tu,huyo ni campaign tu anapiga ya mdomo.Kuna kitu yeye hufanya kweli.Labda anyakue hiyo shamba!!
2026-10-19 10:30:44
1
stevebaks :
but in public rally uliongea mbaya bwana commando🤔🤔🤔
2026-10-19 08:47:26
0
Don Naftali :
Simple simple watu ni waslow sana
2026-10-19 12:59:40
0
Makori :
🥰🥰🥰
2026-10-19 09:57:29
0
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm
homepage.