@lishe_by_tee: Oats na viazi vinampa mtoto nguvu, yai na maziwa vinatoa protini inayosaidia ukuaji wa mwili, huku ndizi zikiongeza ladha Na kama unahitaji unga wa lishe au meal plan kwa ajili ya mtoto wako, karibu Lishe by Tee, tukusaidie kupanga lishe yake kwa uelewa zaidi. #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyp #viralvideo #mealplan