@dinya1999: Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imethibitisha kutekeleza hukumu ya kifo cha kukatwa kichwa dhidi ya raia wawili wa Bangladesh, mwanamume Nazrul Islam Basir na mwanamke Siti Akhtar, kufuatia hatia ya kufanya vitendo vya kiasherati ndani ya eneo takatifu mkoani Makkah. Serikali ya Saudia imeeleza kuwa kitendo hicho ni uvunjaji mkubwa wa maadili na udhalilishaji wa eneo takatifu la Kiislamu. Mahakama Kuu nchini humo iliidhinisha adhabu hiyo kali chini ya sheria za Kiislamu (Ta'zir) ili kuwa fundisho kwa wengine. Hata hivyo, Ubalozi wa Bangladesh nchini Saudia umeeleza kushitushwa na utekelezaji huo, ukidai haukupewa taarifa za mapema kabla ya hukumu hiyo kutekelezwa na sasa umeiomba Serikali ya Saudia kutoa maelezo ya kina ya kisheria. 👇 Wewe una mtazamo gani kuhusu adhabu hii kali iliyotolewa na Saudi Arabia? #SaudiArabia #Makkah #Bangladesh
This is not fair, they suppose to chose another way not to kill someone 😔😔
2026-10-19 16:58:08
0
PAVARD007 :
wamezin ndan ya msikiti au wamezn ndan ya mji na kama ndan ya mji je ni wangap wapo wanazini au mji mzima wa maka tuseme wao peke Yao ndy wamezn na wengine wote watakatifu..me naamini anaepaswa kutoa hukum ni Allah pekeake ndy mjuzi wa kila kitu na yeye pekee ndye anaejuwa haki iko wap..swz kusema awakustaili kupewa iyo adhabu Ila to kuna mambo mengine yanaitaj ufatiliaj wa hali ya juu..
2026-10-19 09:52:09
83
Success Eliya :
Hawa ndugu zetu wana roho ngumu
2026-10-19 15:21:47
13
DC Sam :
hii sheria mbona ikija bongo watu watakufa mnoo😳😳
2026-10-19 13:09:39
20
chillcheser❤️🌿 :
Nataka kujua walizini ndani ya msikiti ama nje ya mji
2026-10-19 13:16:41
7
It’s ~Naah🤍🤎 :
Mung ndo mtoa hukumu wangewaamish tyu mji
2026-10-19 13:00:27
4
Rismahatun 🇹🇳🇹🇱 :
Hii sheria iweke na tz
2026-10-19 17:49:46
1
Juma Ally :
Hakuna taazir ya kuuwa mtu aliyefanya hivo.
2026-10-19 16:05:11
2
BarakaKINGS👑🇹🇿🇿🇲Ministry :
TUKIWAAMBIA UKRISTO ni Dini ya Upendo muwe mna elewa
2026-10-19 16:53:55
1
Real~mimah🌸✨ :
Kwan n wanandoa ama wapenz jamn
2026-10-19 14:19:09
1
SARAFINA :
usawa wangerudishwa kwao wakahukumiwe huko na sio kukatwa vichwa
2026-10-19 16:17:51
1
sakham76 :
Sio kweli bwana haiwez tokea icho kitu kwauwez wamwenyez mungu, msipend kuzua uongo katik din
2026-10-19 12:28:32
5
ibrah :
na Tanzania ije hiyo sheria
2026-10-19 17:30:54
1
Ba.white :
makkah ni mji mtukufu Allahakbar
2026-10-19 15:31:07
5
Yuse og :
io sheria iletwe tanzania
2026-10-19 17:04:21
0
Canim🫂🌹 :
tuelewan tuuu saudia wanfata muongozo wà dini cyo sheria km nchi nyngn jmn
2026-10-19 16:38:26
0
Success Eliya :
Kama angeweka sheria kila tunapokosea atuue tusingetoboa kweli Mungu ni upendo
2026-10-19 17:55:45
0
Ruwayda soud :
Sio haki kuwatoa uhai wao wangewapa adhabu tu hata ya kifungo sababu kila mtu ana siri yake sio watu wote wasafi
2026-10-19 13:09:39
4
MTAREMWA (omukama ✨ taremwa) :
huo upuuzi apa Tanzania hatutaki kuusikia kila
2026-10-19 16:57:34
0
𝔽𝕒𝕥𝕞𝕖𝕪𝕟🫀🔐 :
makkah wapo serious na hukmu za kiislam 🥺🥹
2026-10-19 13:39:40
3
mwinjilisti+255768000689 tz :
HAPO KUNAMAMBO HAYA ✌️
2026-10-19 16:20:58
2
salama tamim :
jamani labda waongo wanawasinguziya
2026-10-19 09:35:58
4
aspocha :
c wangefungishwa. nikkah. ikawa. halala. basi
2026-10-19 10:05:23
3
To see more videos from user @dinya1999, please go to the Tikwm
homepage.