mambo mengi nitaendele nayo nikirud acha niwah ibada
2026-10-19 08:53:27
90
Recho💝🥀🥀 :
mchungaji nakuja nilipanga kuja toka juzi lakn mambo yalibana
2026-10-19 10:49:14
30
Laizer :
Siijiii siji! Kama kuja ibadani ni mpaka niletwe kwa mtego wa mkate basi Mimi sio Kuku wakuletwa bandani kwa Punje za mpunga,
mkate Wa 1000 na soda ya 1000 haviwezi kunifanya Nimkufuru Mola wangu.
PEPO LA UDANGANYIFU NALIKATAA KWAJINA LA YESU.
2026-10-19 14:32:00
8
Aron Nyamanga :
nitakuja
2026-10-19 12:25:07
10
Mrs E :
Apo lazima nije ata kuoga nitaoga nikirudi tu🏃➡️
2026-10-19 10:01:03
14
mrs ismail 💞 :
nakuja mheshimiwa nampenda mungu
2026-10-19 09:41:41
9
Eunice Issaya :
nipo njian baba angu
2026-10-19 16:48:59
0
Ajilath ziad :
nakuja ibadani jaman mambo mengi tena kwahapo najaa chapu
2026-10-19 10:16:21
5
Wambura Charles :
Saa mm siji kabisa
2026-10-19 09:12:36
5
gidion :
oke ngoja tuone
2026-10-19 09:52:14
3
muha sinbdi :
kuba nakuja
2026-10-19 09:54:50
4
rebeccaabdallah54 :
mambo mengi muda mchache
2026-10-19 12:51:08
3
kizazi jeuri17 :
awee. tena sitoki tena
2026-10-19 09:35:17
2
Beniliy elias :
naenda
2026-10-19 13:06:37
2
azastan colo carime :
tunakuja bwana sasa
2026-10-19 09:25:32
3
timi tz :
dah hapo xaw hatuta acha kanis
2026-10-19 08:48:21
2
To see more videos from user @kisawa44, please go to the Tikwm
homepage.