@prmwasomola: #adventisttanzaniatiktok #adventistworldewide #adventistuganda #christian #wakristo #adventistkenyantiktok🇰🇪 #seventhdayadventist

kenani Abraham mwasomola
kenani Abraham mwasomola
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 08:11:36 GMT
11902
828
36
20

Music

Download

Comments

godfrey3896
Godfrey Songe Mathias :
Mchungaji wa ukweli sana Basi tu dunia Kuelewa ni ngumu
2026-10-19 09:45:17
9
jesus.is.my.saviour78
Jesus is my saviour :
Warumi 10:3–4 Kwa maana, wakiwa hawaijui haki ya Mungu, na wakitaka kuithibitisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu. Kwa maana Kristo ni mwisho wa sheria, ili kila aaminiye ahesabiwe haki.(mnamkataa Yesu kama njia , mnajitafutia njia zenu kwa kazi zenu,Yeye kasema imekwisha nyie mnakataa , kwamba kazi yake haitosho bado unahitaji kazi zako kuingia mbinguni)
2026-10-19 10:34:44
1
josephyobegwa
Joseph yobegwa :
na umelaniwa Torati 27:26
2026-10-26 03:05:57
0
saimonmaya615
Saimon Maya :
Ameni
2026-11-03 03:47:58
0
reubegab118
Reubegab118 :
Amina Pastor wewe hubiri
2026-10-19 17:16:26
1
moses.obure.mayak
MOSES OBURE MAYAKA :
mungu akupee maisha malefu pr.
2026-10-20 16:28:49
0
alnordj34alnordj3
Alnordj34 :
kabsa sawa mtu wa baba
2026-10-19 12:13:16
1
emmanuel.mangure
Emmanuel Mangure :
Amina Pastor
2026-10-20 07:28:37
1
amos.sengerema
Amos Sengerema :
Mungu akubariki sana mchungaji
2026-10-19 20:12:40
1
www.tiktok.emmanuel
Emmanuel samwel Harun :
pr barikiwa sana na Bwana kwa kuusema ukweli 🙏
2026-10-21 09:26:04
0
7leakey
Lickson jeremia 🇹🇿🇰🇪 :
Amina
2026-10-20 11:14:26
1
pimajr2702
jp org :
Mchungaji ubarikiwe sana, natamani kuonana nawewe, maana wachungaji wa aina Yako wamebaki wakuhesabu, wengne wanatafta kupendwa na watu.
2026-10-20 20:38:00
0
user9212731430742
@Elifuraha283 :
asante mchungaji
2026-10-21 11:06:27
0
goddie289
GM :
Huu mkutano ni wa lini na ni wapi pls ili nijue kama naweza kuhudhuria....
2026-10-20 15:17:24
0
user4813010197356
septicoco :
Amen
2026-10-22 14:14:39
0
jesus.is.my.saviour78
Jesus is my saviour :
2026-10-19 10:34:15
1
elishadai626gmail.com
El shaddai :
😂😂😂
2026-10-21 19:03:36
1
magesa41
magesapaulo :
🙏🙏🙏
2026-10-19 08:38:58
2
fibeliahmalim
berry's baking :
🙏🙏
2026-10-19 09:35:27
2
shaven033
shaven033 :
😂😂😂
2026-11-04 10:45:12
0
agathamwambebule2
ag@t@ :
🥰🥰🥰
2026-11-04 10:14:59
0
davids.kijas
TANZANITE MUSIC ACADEMY :
🤝👏👏👏👏
2026-10-23 11:42:05
0
makubi1233
Samuel :
❤️❤️❤️
2026-10-20 23:15:34
0
jesus.is.my.saviour78
Jesus is my saviour :
Warumi 10:3–4 3 Kwa maana, kwa kuwa hawakuijua haki ya Mungu, na wakitaka kuithibitisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu. 4 Kwa maana Kristo ni mwisho wa sheria, ili kila aaminiye ahesabiwe haki
2026-10-19 10:34:55
1
To see more videos from user @prmwasomola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About