@wadie__20: #fypシ゚viral

WARDAH
WARDAH
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 08:37:15 GMT
96662
5020
298
153

Music

Download

Comments

sabra.mussa97
sabra mussa97 :
wallah mnanipa raha sana vipenz💚💛👌
2026-10-19 12:50:44
37
neemagidion07
Neema Gidion :
asanteni kwa kunivunja mbavu zangu😁😂
2026-10-21 11:13:14
2
tiktok.comyunusu.ally0
BABA Naifat....✍️ :
Nasikia kucheka acha ni kaushe tu...🤣 ila yanga inachekesha kama siyo team yako
2026-10-19 14:01:33
3
mzee.wenga0
Mzee Wenga :
hhhh yuyu nimsemaji wayanga au msanii wa taarabu
2026-10-19 14:31:22
19
user19952828165735
😇😇💦 :
Bora hata mjifariji mapema maan hata mwezi wa pili tutarudia tuliyo yafanya tarehe 10 😅😅😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-19 13:20:51
1
mawazo.mkumbwa.1980
mawazo mkumbwa :
semaji na kukubali sana
2026-10-19 16:01:33
21
alfajamar
Alfa Jamar :
hapo kuna mambo hayo ✌️
2026-10-19 12:26:03
3
shadycute7
shady cute :
wapiiiiiii!!!!? mnafikilia mwezi wa pili mtatufinga Tena ? yanga huwezi kuifunga mara mbili wewe Simba Kaa Kwa kutulia wewe
2026-10-20 06:02:05
4
nilham797
nilham :
kamwe kama dada vile khaaa
2026-10-20 11:41:26
1
addiykibegi
addiykibeg🎒😜🇧🇷 :
2026-10-19 12:17:57
8
gelmana49
gelmana :
ovyoooooooooooo
2026-10-19 14:12:56
1
loveness.mwajombe
Loveness Mwajombe :
nawapenda buree nyiee watu
2026-10-21 13:47:23
2
mrssadiki
Mrs sadiki 💞💕🥰 :
me nachoka kabisa semaj wetu lakini
2026-10-21 18:42:30
1
felistamkapose675
ferista :
nimeipenda hiyoooo najivunia kuwa yanga
2026-10-21 19:36:09
1
user5179958153697
alice :
yanga tunaipenda kivyovyote vile
2026-10-24 16:50:50
3
khairaty.abdallah
Khairaty Abdallah :
Yanga tunavipaji mpaka tunajiwekea wivu wenyewe😂😂
2026-10-19 17:03:08
6
user7870406667638
Fauzaiddi🥀 :
ila semaje duuuuh
2026-10-20 19:35:34
1
godfrreylusekelo2
gody pacome zuozoua⚽⚽ :
poa tuu
2026-10-21 08:18:57
1
priscasimon527
prisca sunko :
naipenda yanga kuliko mume wangu
2026-10-26 15:25:20
1
user8130838103342
Neema :
waooooo 😜😜😜
2026-10-19 18:19:43
2
kimnanaa13
kimnanaa🧿🧿💙💚🩵 :
Yani yanga kuanzia timu yenyewe mpka ao wasemaji wao wananifurahisha kweli na enjoy😂😂😂😂😂😂
2026-10-27 22:05:55
2
ashura.juma32
ashura juma :
kweli yanga kuna raha sana dah💚💚💚💚💚💚💚💚
2026-10-19 18:27:22
2
022lovenahya1
💅Love Nahya❤ :
😂😂😂😂😂 Ningojeni nakuja apo
2026-10-30 08:45:59
0
user8723655706735
msiziloofficial :
hivi vichwa hatari nawapenda wananchi wenzangu naombeni kadi ya yanga
2026-10-19 18:05:06
3
neema.amosi50
Neema Amosi :
yanii we acha tyu kuwa yanga raha jamani naipenda yanga mpaka basi
2026-10-22 20:19:05
0
To see more videos from user @wadie__20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About