@dw_kiswahili: TEASER YA MONDAY Nchini Kenya, jumba la watumwa Gazi ni jengo ambalo historia yake imejaa maumivu, mateso na siri ambazo wengi hawazijui. Jengo hili la zamani Kenya linadaiwa kuwa na sakafu iliyojengwa kwa meno ya binadamu. Historia hii ni ya kweli au ni simulizi tu? #DWTunavuma #vumakwakishindo #kenyantiktok🇰🇪
DW Kiswahili
Region: TZ
Monday 19 October 2026 09:13:34 GMT
Music
Download
Comments
mwandan :
Arabs were very brutal that time?
2026-10-19 14:04:30
34
mama :
kwaiyo Kenya ilitawaliwa na mzanzibar?
2026-10-19 12:06:14
5
innocent Kessy :
alfu leo waarbu wanakuletea din unasema DINi ya haki
2026-10-19 16:44:49
3
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-10-19 11:32:57
3
Beauty Maku :
iko side gani?
2026-10-19 18:34:28
0
.. :
home home
2026-10-19 10:24:02
0
Unknown viewer :
duh af watu wanaona wanateseka saiv
2026-10-19 10:34:52
1
sir kichaura :
uongo huo ni mchanga wa pwani
2026-10-19 13:17:34
2
thamir abdallah :
like wapi jengo twende tukatembee
2026-10-19 19:22:47
0
Riz :
mlikuwepo??
2026-10-19 18:05:51
0
Shillah da Chosen :
limeachwa Sana .....hata halitambuliki
2026-10-19 12:18:34
1
user9981432627542 :
sasa si walihifadhi ni sehemu ya kitalii sema wapo bize wanaandamana
2026-10-19 11:43:58
0
JAY Jr :
Apo kuna mambo haya ✌️
2026-10-19 15:37:02
0
shany :
Zanzibar ina historia kweli
2026-10-19 18:00:54
0
SHe :
ni shells
2026-10-19 15:15:36
0
Anaesthesiologist :
uongo mtupu....
2026-10-19 11:01:50
0
user2222606812132 :
hiyo tarazo bhana
2026-10-19 11:12:09
0
mwandan :
By the way, is that Jumba la mtwana in mtwapa?
2026-10-19 19:25:17
0
moEditers :
kumbe Kenya walitawaliwa na zanzibar
2026-10-19 17:45:19
0
Big M :
people who brought islam
2026-10-19 15:23:47
0
BintiAbdulNassir :
Kirejesheni kwa Wazanzibari kisiwa icho
2026-10-19 10:02:00
2
Ema :
that's clearly cowrie shells kutokana na mchanga wa bahari. ubaya huku wengi majahilia na ni watu wenye chuki.
2026-10-19 17:39:51
0
Bonga Boli 🗣️⚽ :
Nina meno kibao huku niliko... nileta dozen ngapi?
2026-10-19 17:45:18
0
Ahmed :
zanzibar shkmoo
2026-10-19 16:59:48
0
Salah Khalid :
sasa wazungu wakisema wanapenda freedom tunafaa kuwapeleka wajioneee vitu kama hizo
2026-10-19 11:30:15
0
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.