@bbcnewsswahili: Maandamano nchini Ufaransa, yaliyotokana na malalamiko kuhusu kupanda kwa gharama za maisha, hali ya uchumi na huduma za umma, yamegeuka kuwa ghasia zilizosababisha uporaji wa maduka na makabiliano kati ya waandamanaji na polisi. Lakini maandamano hayo yalianzaje, na kwa nini hasira za wananchi zimeelekezwa kwa serikali ya Rais Emmanuel Macron? Mwandishi wa BBC @Beldeen Waliaula #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #ufaransa🇮🇹 #maandamano
bbcnewsswahili
Region: TZ
Monday 19 October 2026 09:32:16 GMT
Music
Download
Comments
mwande_57 :
ufaransa wanaandamana maisha magumu duh TANZANIA tuishi2 kwa uvumilivu inawezkn tunaona pabaya kwasabu atutoki nje
2026-10-19 10:25:47
5
Emmanuelle KleineÕlóo :
Mbappe awakopeshe pesa banaa
2026-10-19 10:39:48
2
living de oisso :
habari nzuri
2026-10-19 11:53:33
0
msuguri :
watanzania acheni chuki za udini jifunzeni hata kwa wenzenu pia
2026-10-19 10:51:34
1
Anna Kawira :
rafiki ya Kenya
2026-10-19 10:22:06
1
kp47 :
genziiu
2026-10-19 09:44:58
1
Abdulkarim kalama :
Ee! mungu fundi mlialibu NCHI za watu kwa kuchochea Vurugu kule Iran Leo zipo nyumbani kwenu
2026-10-19 13:44:47
0
Ibrahim Traore :
Walikuwa wanafurahia maandamano iran
wawaache watu waandamane maana wao ndio wanasema demokrasia
2026-10-19 10:17:21
0
Walii Zakaria :
berdin waliyaula nakupenda sana
2026-10-19 11:16:12
0
msuguri :
Ndio demo demo demo demo democracy
2026-10-19 10:54:20
0
nyabadeux :
nabado Marcos aashe kusumbuwa African
2026-10-19 12:55:30
0
johhmike14 :
nchi ikiwa na rais mpuuzi ndo tunaumia Wana nchi
2026-10-19 12:27:31
0
Mimi Ndo SIFUNA✅ :
badala ajiuzulu anatoa wito
2026-10-19 12:29:29
0
Elviz Mo :
2026-10-19 10:42:14
0
tqnails_Lounge💅 :
Irani kashika dunia pabaya sana daah🤣🤣
2026-10-19 10:24:02
0
Abdulla Khamis :
@Babu Mzanzibari huku ni wapi😂
2026-10-19 12:27:41
0
@abdullah :
🔥🔥🔥
2026-10-19 09:51:13
0
Scombisso :
😳😳😳
2026-10-19 09:44:50
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.