jamani me ninashida na shekh walid kuna ndoto nimeota akinisomea napona maradhi yanguu ila sijui nampataje
2026-10-19 11:15:34
2
@wido prince :
Wanasema makhurafi ibada sio lazima itoke kwa Allah na Mtume, hoja Yao kisa Cha Rasuul kuskia nyao za Bilal Pepo ikabidi amuulize ibada gni KUBWA anayoifanya Bilal akamjibu Rasuul Kila nikitokwa na udhu natawaza nakuswali rakaa 2, kwaiyo Rasuul alikua hajui ibada hii kwaiyo bilal ndie Alie ianzisha, makhurafi ao, Sasa apo sh. Walid haulizwi imetoka wapi iyo
2026-10-19 11:21:52
2
ukhty salmah qaril qur'an :
mashallah jaman shukran sana sheikh walidi
2026-10-19 11:10:31
1
muntazi el fadhir_019 :
daaah nimepata kujua Leo Allah awalipe nyote
2026-10-19 11:25:24
1
user14374409753635 :
alihamdulillah nilikua sijui hii
2026-10-19 11:14:18
1
yaceen samdoe♥️♥️♥️ :
Masha Allah 🤲🤲🤲
2026-10-19 15:03:31
0
Imamu Jamaly :
🥰🥰🥰
2026-10-19 11:14:33
1
Didah_Maratu_facial treat :
🥰🥰
2026-10-19 13:44:31
0
To see more videos from user @islamtv_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.