kweli nakumbuka sambaanibtulikiwa tukivuna mazao mengi tunaenda kutambika
2026-11-06 14:46:33
0
T boy :
uhaki blood ata kwetu nyumba ilikueko
2026-10-19 10:19:06
3
Edgar katemi lushinge :
uko saw kaka Yan nakufatilia sana mkuu kwekweli ukifatilia viziur it's omy
2026-11-05 14:03:01
1
crian 🇹🇿🇺🇬 :
Kweli kak
2026-10-19 10:05:46
3
Kibako Artist :
Ombeni mizim vijana mtafanikiwa
2026-10-19 14:13:48
1
yotesawa81 :
nisawa ndugu ila hampo waz njia izo tunazitaka muda wote
2026-11-04 08:05:45
0
enock :
naukataa umasikini kwanguvu zangu zote hakika
2026-10-19 14:01:07
1
mwamba solo :
kweli kaka👍
2026-10-20 11:24:04
1
yun :
kweli
2026-10-19 11:34:40
1
𝐉𝐚𝐜𝐨 𝐏𝐨𝐥𝐨👽⚡️ :
Umaskin unatesa kinom...
2026-10-29 10:00:56
0
Gaitan Komredy Kipepe :
fact San
2026-10-21 07:00:59
0
Kapizoman :
good
2026-10-19 12:04:02
2
Hamisi Kombo :
kweli kabisa umaskini sio mzuri ommy
2026-10-22 06:12:57
1
JUMATATU THE TRUE ONE :
Sasa kinachonishangaza dini ya kikristo tuliletewa na wazungu dini ya kislam tukaletewa na waraabu wakija kwetu Africa wazungu wanatupatia Imani kubwa ya kikristo wanatujengea makanisa mengi Sana lakini katika nchi zao wamejenga kampuni nyingi Sana na wiwanda makanisa machache Sana na waraabu nao ukienda kwa nchi zao wamejenga kampuni nyingi na viwanda vingi miskiti michache kama kweli wazungu na waraabu ni wa kweli mbona wasitujenge makampuni na viwanda kama kweli ni wa kweli na wanaamini kile wanachotufunza babu zetu walitekwa kifikra na bado sisi tunaendeleza swali langu kwani wao hawataki pepo
2026-10-20 03:03:18
1
عبدالصني 62 :
nikweli mie kua kina babu yangu walikua wanatoka wazee tu wanaenda wakiwa wamevaa kitamaduni wakirudi mvua unanyesha mkubwa kisha wanachinjaa it's true
2026-10-21 17:09:41
1
Jay K :
we mzee umesadika aje
2026-10-21 17:24:57
0
Sonia dangote :
mizimu nayo apana nachinja Kwa ajili ya mungu
2026-10-19 12:11:32
0
3. DRIP KICKS👟🛒👟 :
💯💯💯
2026-10-27 20:32:28
1
To see more videos from user @ommyd15, please go to the Tikwm
homepage.