@mtumweusi26: 📌 APATA KAZI SAUDI ARABIA AKIDHANI ATAMLEA MTOTO, KUMBE NI MJUSI MKUBWA! Mwanamke mmoja kutoka Kenya anayeishi katika nchi za Ghuba, aitwaye Susannah Muiti, amewaacha watu wengi na mshangao mitandaoni baada ya kusimulia jinsi alivyodhani amepata kazi rahisi nchini Saudi Arabia. Kwa mujibu wa simulizi lake, mwajiri wake alimweleza kuwa wafanyakazi wengine wangeshughulikia kazi zote za nyumbani, huku jukumu lake pekee likiwa kumlisha na kumuogesha mtoto aliyeitwa Turki. Alifurahi sana akidhani amepata kazi isiyo na usumbufu mwingi, hadi alipofika na kukutana na huyo “Turki” mwenyewe. Kumbe Turki hakuwa mtoto wa binadamu, bali alikuwa Green Iguana, aina ya mjusi mkubwa! Sasa kazi yake ni kumuogesha, kumlisha, kulala naye kitanda kimoja na kusafisha uchafu wake kila anapojisaidia. SaudiArabia Kenya GreenIguanaAjira Simulizi#radiomaria #radiomariatz #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
NGUCHIRO MTIIFU 🇹🇿🇰🇪🐒
Region: TZ
Monday 19 October 2026 10:01:34 GMT
Music
Download
Comments
cute_vinna :
jamn katoto kazur kenyew kamefanana na baba yake
2026-10-19 15:29:41
1
user7465014044711 :
Mhhhhh
2026-10-19 17:38:31
0
dorcus elias :
asa mjus jamani mbona watu wanaroho mbaya hivyoo jaman 😭😭
2026-10-19 17:47:03
0
magrethndalo :
duh!
2026-10-19 16:26:28
0
🦋fe.ty8🌹 :
sio kweli
2026-10-19 12:23:16
0
Kurwa stephano :
Uwiiiiiiiii🥺🥺🥺
2026-10-19 12:23:20
0
irene :
😭😭😭😭😭jaman
2026-10-19 13:06:45
0
🍃Sajmaly🍃 :
mother monster in real life 🤣
2026-10-19 16:24:05
1
YOU BETTER WATCH YOUR BACK :
kikubwa hang'ati bas mambo mengine mungu ndo anajua we look for de future 😂😂
2026-10-19 13:56:22
1
msuya :
kwaiyo ameshamzoea
2026-10-19 12:50:57
1
Casablanca 2022 :
wamependezana🤣🤣🤣🤣
2026-10-19 13:16:45
0
my days :
UMASKINI MBAYAAA
2026-10-19 15:42:02
0
Hyperfine_Boe :
Bora kumlea kuliko kuambiwa amnyonyeshe
2026-10-19 13:06:14
0
jude :
🥰🥰🥰
2026-10-19 14:17:03
0
itc_______m.i.s.h.i.e :
😁😁😁
2026-10-19 17:51:40
0
To see more videos from user @mtumweusi26, please go to the Tikwm
homepage.