@wisdomwithmaggie:

Wisdomwithmaggie
Wisdomwithmaggie
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 10:10:46 GMT
23209
1362
264
93

Music

Download

Comments

tirionel
tirionel7 :
me ndo staki ata kurekebishwa sitaki 😏
2026-10-19 11:34:51
80
janelove826
Janelove :
Mi ata kuongeleshwa ovyoovyo sitaki, keep calm when you want to talk with me.
2026-10-19 11:59:45
31
kigoma_gifts_gallery
Kigoma gifts gallery 🎁💐 :
Yan naomba niongee kwa kusimama😂🤣
2026-10-19 11:32:46
16
sevenbeautysaloon
Seven Beauty Saloon (Mwanza) :
Uwiiiiiii naomba kiti nikae Sitaki mtu yeyote anikalipie tuongee tu tutaelewana na usinifuatilie usiniulize maswali mengi Ila Mimi nikiwa na maswali nijibiwe yote😂
2026-10-19 10:28:45
26
raynaah1
Raynaah🇹🇿♊🦋 :
me ntaluka na MTU Yani kitendo chakunikalipia tu umehalibu kila kitu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ebu fungueni group la Frist born only Gris 📌
2026-10-19 17:46:01
7
chebeti444
1441992 :
jamni sipendi maswali au mtu ambae kila wakati ananiuliza maswali sipendi sana, kuna siku nataka nikae bila kuulizwa au kuongea na mtu yaani nahitaji utulivu kukusanya nguvu ila Sasa maswali sipendi. first born mie🤣🤣
2026-10-19 16:40:10
5
happynessyohana552
joyfully 🥰🥰🥰 :
yaani Mimi Nina hasira lakini spendi kukaripiwa Kwa kweli yaani especially nikiwa Mimi najizuia alafu wewe unanijia juu utajua uhalisi sijigambi lakini kukaripiwa kama Mimi mwanao weeeeee😂😂🥰
2026-10-19 10:54:42
9
idahfullkiss09
Idah full kiss🎀🥀💋 :
me ata kuitwa kwanguvu sipendi
2026-10-19 11:54:33
2
faith92_7
Fay🎀 :
First born mimi😂 bora unipige sio unifokee😂😂lakini sisi ndio tunaongoza kwa ukali😂😂🙌
2026-10-19 11:26:55
3
pricky007
priscy☆☆☆ :
ndo nmetoka kuachwa jana ,kisa hilo😂😂😂 duunh mi kufokewa ni kitu nmeshindwa kuvumilia hata awe nan
2026-10-19 12:11:50
0
husna.shuaib
Husna Shuaib :
Ila mbn ss tukaripia wenzetu 😂😂😂😂
2026-10-19 15:17:51
0
esamaofficial
Esamaofficial 🌸💕 :
Jmn nilijua ni Mimi tu Heee Kumbe ni Firstborn wote Jmn 😁😂
2026-10-19 11:11:29
3
pinkdreams.giftsmafinga
pinkdreams.giftsmafinga :
sio tu wa kwanza ad mm wa mwisho jaman talk to me nicely kwakweli HAPANA DO NOT SHOUT NO PLZ DO NOT
2026-10-19 13:07:42
1
dijjah331
Senior..🦋🌸 :
Huwa nikikoseaaa napenda kuwambia na najuaa kuomba msahamah Ila usithubu kunifokeaaa hutaamin utakachoona😂😂
2026-10-19 15:33:44
1
lady78096
kaaya child🧸 :
me kelele staki jamni
2026-10-19 15:08:27
1
user7454861303294
@Yaspi🙂‍↔️ :
kwanini unikumbushe majukumu yang😂😂😂
2026-10-19 14:20:08
2
brigiterhans0
Brigiter Hans :
Yan mimi sio kunikatipia tu hata nikiwa na scroll mtandaon nikukutana na wale wanaotangaza biashara kwanguvu napandwa na hasira naona kama ananifokea bc napita fast😂😂
2026-10-19 23:14:29
1
domitra6
butterfly 🦋 🦋 :
Me na mwezangu ni firsh born jmn tunskombana kila siku
2026-10-20 05:18:28
1
karungi1060
TAMARA🍫♐️ :
Huyu ni Mimi wallah
2026-10-26 16:21:48
0
julieth.mashina0
Julieth Mashina :
sitaki kelele😣
2026-10-25 12:00:46
0
collinsleez
collinsleez :
Yan nimemfanyia mteja kaz akurdhika nayo na ajalipia akanicall ananikalipia alooh nashidwa kuelezea
2026-10-25 19:45:43
0
user71484021633705
reneeraph :
Yaan mm huwa naondokanakuacha uongee pekeakoo sikujibuu
2026-10-23 09:22:27
0
brijite54
brijite :
kumbe tukowengi
2026-10-23 02:08:45
0
happy.julius70
happy Julius :
hi first born wenzangu 🤣🤣 we're healing slowly but kukalipiwa ndio kitu hatuelewi kabisa 😂let's sit and talk but sio kunikalipia I'm not your child 💃
2026-10-22 08:19:25
0
chimamy.gee
Chimamy gee :
nilijua n mm tu😂😂
2026-10-19 10:40:15
0
To see more videos from user @wisdomwithmaggie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About