@khaidyah0505:

05🌟keydiaa🇮🇩🇵🇸💕
05🌟keydiaa🇮🇩🇵🇸💕
Open In TikTok:
Region: ID
Monday 19 October 2026 10:25:25 GMT
197
28
3
0

Music

Download

Comments

rinaldo.edo38
rinaldo edo :
bunda aku nak nanyo soal bunda ini apo bunda lah punyo suami dak bunda nyo yo kalu aku bole tau bunda yo maf nian kalu aku komentar bunda ini bunda yo🙏🙏🙏
2026-10-19 11:31:37
1
tingpoutung
PRODUK BURNIK :
gimana kabar mbakku,dari sekian lama baru muncul lagi diberandaku[Suka]
2026-10-19 13:48:34
0
To see more videos from user @khaidyah0505, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Wanawake wengi hujiambia:
Wanawake wengi hujiambia: "Mimi napata Period yangu kila mwezi, kwa hiyo sina tatizo la uzazi." Lakini hapa ndipo unaweza kuwa unakosea. 👇 Kupata Period kila mwezi hakuthibitishi moja kwa moja kwamba kila hatua inayohitajika ili kupata ujauzito iko sawa. Ili ujauzito utokee, mambo kadhaa yanahitaji kwenda vizuri: 🩸 Yai kukua na kuachiliwa kwa wakati 🥚 Ovulation kutokea 🧬 Mbegu za mwanaume kuwa na ubora unaofaa 🛣️ Mirija ya uzazi kuwa wazi ❤️ Yai na mbegu kukutana 🏠 Mimba kujishikiza vizuri kwenye kizazi Tatizo kwenye hatua moja tu linaweza kufanya ujauzito uchelewe—hata kama Period yako inakuja kila mwezi. HEBU JIULIZE… Umejaribu kupata mtoto kwa miezi mingi au miaka, lakini kila mwezi unaona Period yako inarudi. Badala ya kusema: “Basi ngoja mwezi mwingine.” Ni wakati wa kujiuliza: 👉 Je, nina-ovulate vizuri? 👉 Je, mirija yangu iko wazi? 👉 Je, kuna changamoto kwenye kizazi au homoni? 👉 Je, mwenza wangu amefanya uchunguzi wa mbegu? Na kumbuka, changamoto ya kupata ujauzito si lazima iwe kwa mwanamke pekee. Mwanaume pia anapaswa kushirikishwa kwenye uchunguzi. ⚠️ Kosa kubwa ni kuendelea kusubiri kwa muda mrefu kwa sababu tu Period inakuja kila mwezi. Kama umekuwa ukifanya tendo bila kinga kwa miezi 12 au zaidi bila kupata ujauzito, ni muhimu kuanza tathmini ya uzazi badala ya kuendelea kusubiri bila kujua sababu. ❤️ Swali kwako: Period yako inakuja kila mwezi lakini bado hujapata ujauzito? Andika jibu lako kwenye COMMENT. 👇 #Ujauzito #Uzazi #KutafutaMtoto #AfyaYaUzazi #Ugumba

About