@josephmushi99: Enzi hizo 'Umeme' inakata mbuga! Rombo Investments ilikuwa habari ya mjini. Je, unalikumbuka basi gani la zamani lililokuwa likitamba mkoani kwako? ๐ŸšŒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #TanzaniaHeritage

๐Ÿ…œ๐Ÿ…ž๐Ÿ…ฃ๐Ÿ…˜๐Ÿ…ฅ๐Ÿ…๐Ÿ…ฃ๐Ÿ…˜๐Ÿ…ž๐Ÿ…
๐Ÿ…œ๐Ÿ…ž๐Ÿ…ฃ๐Ÿ…˜๐Ÿ…ฅ๐Ÿ…๐Ÿ…ฃ๐Ÿ…˜๐Ÿ…ž๐Ÿ…
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 19 October 2026 10:29:34 GMT
41099
1342
145
263

Music

Download

Comments

leonard.mitoris
Leonard Mitoris :
kamata bus service
2026-10-22 15:03:53
0
eduuassenga
edii :
TTBIES
2026-10-22 11:18:08
0
ngatari.shao
Ngatari Shao :
VISIT ROMBO
2026-10-22 08:41:00
0
gillysabas
Gilly Sabas :
ndengaso coach. sansity beach
2026-10-21 07:10:22
0
mage.mbuya0
Mage Mbuya :
kindokyakombe bus
2026-10-20 14:48:30
7
anither_465
iam_anie๐Ÿฆ‹๐Ÿฅฐ :
me sio millenials ila napenda san hizi story naipenda rombo yang[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-21 09:47:08
1
angelina.mrema
angelina Mrema :
ushirika masaseni rombo moja
2026-10-20 13:54:03
0
wwwmboya
lizzy :
Chiriku na mwanachiri kutoka Moshi mjini to Kilema - kisangiro
2026-10-20 18:24:35
2
nobert.kavishe
Nobert Kavishe :
Huyo dogo ni babaangu
2026-10-20 18:11:50
1
ladislaus538
Ladislaus :
jamani Arusha naikumbuka kibasi kidogo kilikua inajulikana kwajina la NDOROBO kwangulelo
2026-10-20 20:29:47
2
user8354315777922
user8354315777922 :
majora bus dereva richadi
2026-10-20 05:36:46
0
israel.ngoti
Israel ngoti :
utuka .kutoka moshi mjini kwenda.materuni
2026-10-22 13:11:50
0
user9057997790270
malik :
kibo bus service.njuweni.langata
2026-10-21 11:56:58
1
margaritoraphael
margaritoraphael :
Rombo investiment ilikuwa ndo usafiri wetu kwenda na kurudi shuleni enzi hizo walingia mkataba na serikali, enzi serikali inalipia wanafunzi nauli za kwenda na kurudi mashuleni๐Ÿฅฐ
2026-10-21 06:42:41
0
isha.ayubu
emilian lukasi :
nalikumbuka masaseni
2026-10-20 09:47:12
2
hulda.kitururu
hulda kitururu :
Njuweni
2026-10-19 12:06:32
1
kwirinimramba
kwirinimramba :
enjofes uso wa malaika
2026-10-20 19:42:07
0
user9223750522281
user9223750522281 :
kindokayakombe bus
2026-10-20 16:38:14
1
hulda.kitururu
hulda kitururu :
Lang'ata
2026-10-19 12:06:57
2
efx.bk
wu tang clan :
jaman ARUSHA nalkumbukabasi linaitwa muvndu apo mereran kunabasi mbli rooyapaka masanga toto weee tonight nanane iyo
2026-10-20 09:20:24
1
maty80528
Maty :
KAUKI
2026-10-22 18:04:57
0
veronicalukwekwe
Veronica Lukwekwe :
bonicosti
2026-10-22 20:30:57
0
totoo41953
frank :
nimekumbuka mbalisana
2026-10-22 18:46:00
0
melchiory.maffiki
Melchiory Maffikiri Macha :
BILA kusahau Dar Exp, Mawenzi
2026-10-22 18:35:10
0
victormneneymnene
Vm2025 :
Not forget Rombo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 18:41:20
0
To see more videos from user @josephmushi99, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About