@zungu_berry255: KUMBUKUMBU NA MTANGAZAJI MAREHEMU REHEMA MWAKANGALE ALIEFARIKI DUNIA TAREHE 03/MARCH/2009 NA PIA SAUTI YA MTANGAZAJI WA HABARI MAARUFU WA ITV GEORGE MARATU KUTOKEA MARA #creatorcontentideas #zilizopendwa #viraltiktokstopost #1000millonviewsviralvideo #trending
nyie nmezeeka Rehema amefariki wakati nipo darasa la saba😂
2026-10-19 11:34:30
78
im_fidely :
ikimuangalia vizuri Rehema amefanana sana Asma majid
2026-10-19 12:54:49
43
Swax Franco Makiadi :
Rehema mwakangale[Fire][Fire][Fire]
2026-10-19 13:52:09
0
userHope Vincent :
Rehema Mwakangale huyo ni jirani yangu wa sinza pale kwa mzee Mwakisopile......Rehema alikuwa amepanga nyumba inaitwa get la blue opposite na kwa kina Imran karibu na kwa bibi ulie ambako kwa sasa ni studio za free nation ya Ney wa mitego
Pia mwaka 2009 ndio mwaka ambao Michael Jackson alifariki na pia ndio mwaka ambao rufaa ya kwanza ya kesi ya babu seya ilitekerezwa na wakatoka wawili MMBANGU NGUZA na FRANCIS NGUZA then wengine walibakishwa ndan mpaka mwaka 2017 ndio wakatoka NGUZA VIKING na PAPII KOCHA
So nikiwa kama mkazi wa sinza enzi hizo......hizo ndizo kumbukizi zangu za mwaka 2009.
2026-10-19 12:04:16
56
MARIAH :
Duuuh 2009 niko form four
2026-10-19 13:24:03
0
isaac :
r i p sister
2026-10-19 17:36:08
0
user63774968252332 :
nyee kumbe huyu dada alifariki mweeh
2026-10-19 12:27:30
28
Sasha makeup💄 :
Mm npo form 2😢
2026-10-19 15:57:10
0
Loryn__ :
jmn huyu dada roho iliniuma hivi sababu ya kifo chake ni nn jmn🥲
2026-10-19 16:49:11
2
Hancepop Essau :
Rehema Mwakangale na fatuma Almas Yangangasa walikuwa marafiki wakubwa Sana
2026-10-19 12:55:06
6
Issa :
nimehama nyumbani nipo.kwa dada angu
2026-10-19 11:13:46
17
سلمن :
nihame kwetu niende wp na rangi ya nyumba nimepaka mm
2026-10-19 12:03:49
10
Ashura Shahaban :
mungu wangu ndio najua leo
innalilai wa inalilay rahajun
2026-10-19 13:25:50
5
🦜Sh@@🦜 :
Daaa utuletee na Habari alizotangaza chiku Lueno,nnema mbuja, beti mkwasa,iddi ligongo,
2026-10-19 11:32:31
5
Ms Chemy99 :
Kafariki nipo la 2😩😩
2026-10-19 12:55:48
4
shuu :
kuna yule mtangazaji wa kike alipigwa risasi na mmewake ivi alikuwa anaitwa?
2026-10-19 17:53:51
0
no name :
alkua Rehema na Fatma Almas Nyangasa cjui yuko wp nae