HAPO UMEMSUTA ASKOFU MWAMAKULA, BAGONZA, KITIMA NA WENZAO WENYE MIDOMO YA KUKU KWA SAMIA
2026-10-19 17:13:12
16
Sal :
Si walitwambia Samia hafiki January, tunamaliza mwaka tuingie January nyengine
2026-10-19 17:45:13
8
Abdallah Kisandu :
unaongea point sana we dada wengine siwaelewgi kabisa asante. kwa kutujuza
2026-10-19 19:08:54
6
paulrt :
vzr sana nimependa sana uchambuzi wako na Mungu akubariki
2026-10-19 15:02:22
5
sweetpea :
asante sana dada wa taifa kumbe kila angle upo mungu akubariki sana pia kidevu skuna ajuwe tupo na mcha mungu anaeijuwa biblia na kuisoma hadi mifano inatolewa kutoka kwenye vifungu wasikuulize maswali kabisa 😂😂😂😂
2026-10-20 03:42:05
6
Pemba :
huu ujumbe unatakiwa uwafikie wale wote wanafki maana wapo wanaojita wao mitume hebu wafundishe hau maana Didi haitaki kuchezewa 👍👍👍👍👍👍👍
2026-10-19 18:14:51
4
Vivi Body Reset :
Ubarikiwe dada❤️
2026-10-19 12:53:12
3
Sinta :
hisia zao na fikra ndo zinawafanya wautoe unabii na kutuaminisha kwambi hiki ni cha kinabii but sometime sio kweli wanatumia unabii wao kufanya visivyokusudiwa
2026-10-28 16:16:14
3
Fatmah shaybu ❤️ :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰mim hapa
2026-10-19 10:51:48
5
Noell Kwiyeya :
Yes it's true
2026-10-19 12:14:42
5
makogeda :
unasema ukweli
2026-10-19 13:13:31
6
Salama Hamid :
🥰🥰🥰
2026-10-19 18:29:30
2
Rashid Kibinga :
swadaqtaaaaaa
2026-10-29 19:59:03
1
Catherine ngeleja :
nakupenda
2026-10-20 15:57:57
1
Naiseri traore :
2026-10-19 14:43:54
2
Ibrah_cadabra1 :
2026-10-21 14:17:21
1
nachingwea ice cream centre :
hakika wewe nidada wa taifa mungu akutunze
2026-10-20 08:06:10
2
Abduli Ali :
kweli dada
2026-10-19 10:52:56
1
masoudzozo :
hongera saana dada umeongea fact kubwa na watanzania tunatakiwa kuwa na akili timamu
2026-10-27 13:10:28
1
kinguluila8888 :
Mungu hafanyagi vitu Kwa mihemko ya watu hata siku Moja,.Mungu alishamaliza kuumba tupo kukamilisha mchoro wake tu,
2026-10-19 16:35:15
4
Hanifa Urassa :
Bycola Mungu akutunze
2026-10-19 20:27:09
4
Keanu Reeves 🇨🇦 :
Bonge la somo aisee . Be blessed my sister
2026-10-19 15:44:55
4
Mama Wawili :
Asante sana
2026-10-19 11:05:22
4
To see more videos from user @miss_adam03, please go to the Tikwm
homepage.