@alphakizzy1: Mama Mzazi wa Miss Grand international 2026, @jihandimack Anasema Wao ni Wasukuma wa Shinyanga Na Alimzaa Jihan Jijini Mwanza. Mbali na hivyo Mama Jihan Awashukuru Watanzania kwa upendo mkubwa waliomuonesha Mtoto wake. : @lanka_ting #Wasafimedia
wcb
Region: TZ
Monday 19 October 2026 10:48:45 GMT
Music
Download
Comments
Timmy_cute💞💃😜 :
Shinyanga oyeeeeeeee😂😂😂
2026-10-19 11:15:20
104
Rehema Wambura :
huyu kama ni shinyanga sawa nakubali ni weupe
2026-10-19 11:46:37
148
nonocosmeticsmwanza :
Wanyatunzu ndo walivyo jmn ni weupee warefu warembo vip👌😍
2026-10-19 11:24:22
223
mactrida :
wa shinyanga kujeni
2026-10-19 16:57:17
8
D.o.t.i.e🦋🌹 :
Malampaka 🥰🥰🥰
2026-10-19 13:19:49
20
cute peackock :
watu wanapinga ukweli Kwan jihan akiwa msukuma inawauma nn jmn khaaaa
2026-10-19 13:00:56
42
dear salome :
wasukuma oyee 🥰
2026-10-20 20:21:36
1
Chimamy surahiya❣ :
𝘀𝗶𝗲𝗹𝗲𝘄𝗶 𝗺𝗯𝗼𝗻𝗮 𝗸𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗻𝗶 𝗺𝘀𝘂𝗸𝘂𝗺𝗮 .𝗺𝗮𝗿𝗮 𝘄𝗲𝗻𝗴𝗻𝗲 𝘄𝗮𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗺𝗻𝘆𝗮𝘁𝘂𝗿𝘂 𝗻𝗶𝗸𝗮𝗲 𝘂𝗽𝗮𝗻𝗱𝗲 𝘂𝗽𝗶
2026-10-19 16:24:33
5
michezo1234 :
kama washinyanga nikweli maaana Ata matajiri wa all's star niwashinyanga piano
Lakin Mara shinyanga Mara mwanza which is which
2026-10-19 13:19:37
15
mary🥰🥰 :
wow wa maswa tujuanee
2026-10-19 15:53:38
7
Barbie🌹 :
Wasukuma mwaka huu mmetuburuzaa 🥺🥰
2026-10-19 18:25:02
19
doryedward158 :
wasukuma oyeeeeeeeeeeeeeeee
2026-10-19 11:16:29
11
Rey👑store china🛍 :
wasukuma wa shinyanga mungu alitupendelea bwana
2026-10-21 13:18:43
1
Mariam Yohana :
wasukuma oyooooooooooooooo
2026-10-19 11:20:56
8
It's _ Minart❤️🔥🔥 :
maswaaaaaa oyeeeeeeeeeee🥰🥰🥰
2026-10-19 12:31:54
7
Globby :
clock it
2026-10-21 12:38:20
0
"It's aziza"😎🤏 :
ndomaana nikazuri mama mzuri mashallah🥰🥰🥰🥰
2026-10-19 13:29:14
5
EMer :
mama humble sn 😁
2026-10-20 18:21:30
0
fatu mabesi :
malampaka ooyeeee 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-19 11:31:06
5
user4265312935694 :
bora ungesema mmasai
2026-10-19 11:44:20
3
Ashifati🥰❤️ :
mama ndo msukuma au baba mbon sielewe
2026-10-19 17:26:17
2
officialhappie😚🌺 :
kwan watu hufuata makabila ya mama zao au mm pekee ndo nilifata kabila la baba😳
2026-10-19 13:54:24
0
YOZU047@G :
mara shinyanga mara mwanza😞
2026-10-19 15:36:07
0
mama ney❤️ :
mtoto anasema baba ni mt gan mama ni mtanzania sasa mbona mnatuchanganya
2026-10-19 14:36:31
0
🦋Asha2my🦋 :
Shinyanga 🥰oyeeee
2026-10-19 13:40:03
3
To see more videos from user @alphakizzy1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.