@nijuzenews: Sheikh Alhad: 'Ili kufikia maridhiano, kusiwepo na masharti yasiyowezekana' Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u Tembelea tovuti yetu kwa habari zenye uchambuzi wa kina>>> www.nijuze.com
Kwan masharti yalivyo-wekwa na CDM ayawezekani....... mbona ni vitu simple sana tu kama mwenye Akali na unaitaji maridhiano ya kwel unafanya na itasaidia sana nchi yetu kutoka apa tulipo
2026-10-21 16:36:38
0
Thinklaugh :
Kuwa na uchaguzi huru ndio “masharti yasiyowezekana “
2026-10-19 22:20:59
1
Mindfulness :
au sio mwanetu... ubinadamu si ndio... hatuwezi kuwa watumwa wa MATUKIO eeh!... MATUKIO ambayo hajakukuta hayo yanapita lakini lile liliokukuta haliwezi pita mpaka LITATULIWE.
2026-10-19 14:41:13
2
Mr.Online🇨🇦🇹🇿 :
sheikh wa nini huyu?
2026-10-19 20:12:29
0
G A V I C H :
Sasa masharti gani haya wezekani ni yapi ?
2026-10-30 10:32:50
0
Damn :
Kuna shida gani kuacha Kuua watu, kudhulumu, wizi, kufira watu na kutupa vototo jela na kuwapa watu maiti zao.m wazike???
2026-10-20 09:31:28
0
Armando Guebuza :
vipi kuhusu serikali harumu???
2026-10-19 15:26:50
1
Gellar :
nani ana define linalowezekana na lisilo wezekana?
2026-10-19 19:49:08
0
NGOIRA :
Zero
2026-10-19 11:53:42
2
zegeju :
Masharti gani hayo yasiyowezekana? Halafu maridhiano kuhusu nini na jee hakuna kuwajibika?
2026-10-19 19:01:30
1
mbinga Boy :
Musa,kuwa serious basi
2026-10-19 18:09:51
1
Kassimu Ramadhani :
waisiramu wanabusara sana kurizao
2026-10-19 12:02:30
0
Angelo :
Ili kusamehe inabidi wakiri kuwa waliua
2026-10-19 18:08:56
0
dave___________________4 :
Hakuna kisichowezekana chini ya jua 🙄🙄🙄🙄🙄
2026-10-19 12:53:00
1
Amosi Mwaikambo :
ww ccm
2026-10-19 16:57:45
0
Kassimu Ramadhani :
wewe mzee una phd
2026-10-19 18:38:14
0
Obreychipata :
acha kunifokea
2026-10-19 12:06:23
0
beyar kimoko :
shekh hakuna humooooooooooo
2026-10-19 18:52:43
0
user3003710306005 :
Dhambi kutosikiliza Umma.
2026-10-20 11:08:43
0
one man :
mmmmh hzo pete tuu aseee zina mambo yake
2026-10-22 04:17:45
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.